Wanawake wengi wanadanganya wamefika kileleni, kuwa makini

Nilidhani utatoa na ishara za kuonyesha kufika kwao kileleni, naona hapa hujatoa darasa la kueleweka au la kusaidia kidogo

Kuna dalili nyingi ambazo zinaonyesha kuwa mwanamke bado hajafika kileleni. Kwanza ni muhimu kukumbuka kuwa kufikia kileleni kwa nmwanamke sio jambo la mwili peke yake bali ni pamoja na hisia za nafsi yake,vitu hivi viwili huenda pamoja hivyo uonapo kuwa mwanamke haonyeshi uchangamfu juu ya kipindi mnafanya mapenzi au anajaribu kukuharakisha basi ujue kuwa upo uwezekano mkubwa sana mwanamke huyo hatafika kileleni bali atajifanya tu. Jambo la pili la kuangalia ni mwanamke ambaye anadai kufika kileleni baada ya muda mfupi,umekuwa umejiandaa kufanya mapenzi kwa muda mrefu mara tu kama radi unasikia mwana mke anasema au kukuonyesha kuwa amefika kileleni hapo fahamu kuwa upo uwezekano mkubwa kuwa umedanganywa.

Vitu mbalimbali huonekana pale mwanamke afikapo kileleni kwa mfano wanawake wengine huwa wakimya sana na mawazo yao na nafsi zao zimezama katika wimbi la raha wanayoipata. wanawake wengine hupiga kelele na kumshika mwanaume kwa nguvu sana na kumbana au kutoa milio fulani,chuchu za matiti husimama,rangi ya ngozi hubadilika na kutokwa na jasho jingi.Usipo yaona baadhi ya mambo haya,hasa kusimama kwa chuchu za titi basi kuna uwezekano mkubwa mwanamke huyo hajafika kileleni.

Wanawake wengi wafikapo kileleni hupumua haraka haraka na uke wao utabana uume wako,mapaja yake hutetemeka na hukunja mgongo na miguu pia kama hutayaona hayo upo uwezekano mkubwa hajafika kileleni japo anaweza kusema amefika. Mwanamke aliyefika kileleni (Kiss me) chake kinakuwa laini mno kiasi kwamba hataki aguswe na chochote katika kiungo hicho Maarufu. Hivyo uonapo bado anaendelea kukata kiuno japokuwa amesema ameshafika kileleni na haonyeshi dalili za kujisikia vibaya au kupunguza kasi yake au kusimama kabisa basi jua kuwa upo uwezekano umedanganywa.

Njia nzuri ya kumgundua kama kweli anenda kileleni unapofanya naye mapenzi ni kuacha ghafla katikati ya sex, utakapo fanya hili ataonyesha hali ya kutofurahia hatua hiyo kama alikuwa hakaribii kileleni basi hakutakuwepo na tofauti yeyote kwake na hataonyesha hali ya kutofurahia kukatishwa kwa kitu ambacho hakikuwepo hivyo kujifanya kwake kutakuwa dhahiki kwako. Kufika kileleni katika mapenzi kunahusisha utumiaji mkubwa wa nguvu za mwili, hivyo kama kasi yake ya kupumua haikubadilika sana basi atakuwa anakudanganya asemapo amefika kileleni, pili iwapo mwanamke ataweza kuinuka na kutoka kitandani na kwenda kufanya vitu vingine mara baada ya kusema au kuonyesha kuwa alifika kileleni atakuwa amekudanganya kwani kufika kileleni hutumia nguvu nyingi za mwili na huhitaji pumziko refu kidogo. Au uonapo mara baada ya kufika kileleni anaanza maongezi ya kawaida kabisa, jua uongo umekuja kwani mara ya baada ya kufika kileleni mwanamke huwa anafikiria kitu kimoja tu na kitu hicho ni alivyofurahia na kuridhika na ubingwa wa mwanaume katika tendo hilo. Mia
 
Wewe at least nimekuelewa. Siku zote nlikuwa nauliza sababu ya kufake....wengi wakawa wananiambia eti ili ujione kidume akuchune vizuri....nlikiwa sielewi kabisa...
 
Kiss me ndo lugha ya kiinglish ya kufika kileleni? Nauliza tu kwa ufahamu
 
Nimeelewa zaidi hiyo no7,kweli ni vema kujuliana nakuwa wawazi bhana wakati wa majamboz. Na nyie wanaume jitahidini kuwa watundu lol
 
The mountain lion, Funga kopo lako. Tangu ujiunge JF hujawahi kuanzisha thread yoyote zaidi ya kucomment matusi, hujui kitu. So huna la kuniambia, soma uende zako ukishindwa kakojoe ulale. Una bahati nmekujibu, huwa sina muda wa kujibu watu wa aina yako. Mia
 
Last edited by a moderator:
Mh mara ya kwanza kufika orgasm ni 2013 mwishoni...ckuwahi kufeel ivyo before n my X was like" wanawake huwa ni wagumu kufikia iyo kitu" natamani nimpigie nimwambie nowdays nafikaga mpk nafreez kileleniii...big up to my man😛
 
huwa inaniuzunisha sana...na mbaya Zaidi kam hamcommmunicate vizuri mnakuwa watu wa aibu aibu..ila kitucha kwanza kabisa mkiwa kwenye mahusiano hata kama ni casual sex...ni vizuri mwanaume ujue tu kmfikisha mwanamke si kazi rahisi..inahtji kazi ya ziada

Cha msingi ni mawasiliano tu, wanawake wengi nadhan huona aibu kuongea ukweli, wadada tufunguke basiii
 
Ni kweli kabisa...mimi kuna umri nlifika nkawa mpaka obsessed na hii kitu...yaaani ntazungusha mazungumzo mpaka tuzungumzie hii kitu..kwamba kafika au bado..? na nini kifanyike

Aliyefika haulizwi utamjua tu kupitia kwenye vagina yake maana mwanzon wakat wa kuduu dushe inakuwa imebana...ila ikifikia karbia na climax vagina inaanza kuwa laini hapo orgasm inakuwa tayar..so boys msidanganyike na wadada wanaojidai ku screem mara ooh...aaahhh nyie angalien hiyo method niliyowapa hapo juu..nawasilisha. 🙂
 
Hivi mwanamke atawezaje kudanganya kufika kileleni na wewe ukaamini?
Mwanamke akifika kileleni hutoa maji, kama mkojo vile, au hutoa vitu vyeupe (utoko)
ukihisi anadanganya angalia hayo makitu kama yapo ukeni kwake.
 
Back
Top Bottom