Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Jumatatu ushauri mkuu kuhusu magonjwa ya zinaaMada za weekend hizi
Sisi Masai tupo tayar kuwauzia mitishamba maana madokta ya UK wamesurrender kwa gonoJumatatu ushauri mkuu kuhusu magonjwa ya zinaa
Kuna kale ka mstari katikati ya makalio kanakuwa kanafanya weupe kama maparachichi kutoka Mbeya yakipata baridiSina mengi sana ile wenye wapenzi vibonge tunapata hio kero ya kujirudia miongoni mwa vibonge ambao ni wapenzi wetu.
Vibonge ukiona mwanaume hakutafuti mara kwa mara jiulize kama sio shoo mbovu basi ujue umekosa maksi kwenye Usafi wa mwili.
Zama hizi sabuni nzuri zipi na perfume nzuri zipo, tafadhari vibonge wajitahidi kwenye eneola usafi hasa harufu ya kunukia ipewe kipaumbele.
Tako pekee yake bila kuwa mwenye kunukia watajikuta wanatumika kama spea.
Mwanamke kibonge ukiona mwanaume hakutafuti mara kwa mara kama sio shoo mbovu basi ujue umekosa maksi kwenye Usafi wa mwili.
Vibonge wabadilike
Ni hayo tu Chief Wadiz
Leo tunaongelea miili chief maghetoni weekend ijayoWanawake wengi kwenye suala la usafi wa mwili wamefanikiwa, hata wale wenye hulka ya uchafu kwenye suala la mwili huwa hawafeli sana wanaofeli ni wachache.
Kinachonikera ni pale unakutana na mwanamke anajiremba ila anapoishi ni pachafu vyombo vina ukoko, sufuria iko juu ya meza kijiko kwenye kochi alafu huko nje kala makeup kavaa high heels anatembea kama anatakaa kupaa na kucha zake kama shetani, unaweza kumsusia nyumba yan
Manukato hayahusiani na usafi kabisa, tena manukato kama usafi hakuna ni mchanganyiko maalum wa bomu la harufu ya kiajabu.Sina mengi sana ile wenye wapenzi vibonge tunapata hio kero ya kujirudia miongoni mwa vibonge ambao ni wapenzi wetu.
Vibonge ukiona mwanaume hakutafuti mara kwa mara jiulize kama sio shoo mbovu basi ujue umekosa maksi kwenye Usafi wa mwili.
Zama hizi sabuni nzuri zipi na perfume nzuri zipo, tafadhari vibonge wajitahidi kwenye eneola usafi hasa harufu ya kunukia ipewe kipaumbele.
Tako pekee yake bila kuwa mwenye kunukia watajikuta wanatumika kama spea.
Mwanamke kibonge ukiona mwanaume hakutafuti mara kwa mara kama sio shoo mbovu basi ujue umekosa maksi kwenye Usafi wa mwili.
Vibonge wabadilike
Ni hayo tu Chief Wadiz
Heshima yako dada, najua wewe ni member mkongwe na mwenye heshima yake lakini ningependa kukupa maoni yangu ili kwa mtazamo wako uangalie kama ni chanya au ni hasi. Ni kuhusu hizi mada za vijana, tafadhali usiuingize Uislam maana vijana hawa hawaelewi punde tu wataanza kukupopoa na kukuona ni mdini (Mfia dini).Manukato hayahusiani na usafi kabisa, tena manukato kama usafi hakuna ni mchanganyiko maalum wa bomu la harufu ya kiajabu.
Siku hizi wengi wananuka kwa kujifanya waarabu na wahindi feki. Ngozi nyeupe za madawa zinanuka sana, nywele za maiti na feki zina harufu mbaya sana zikikosa usafi. Wengi hawajui usafi wake.
Watanzania, hususan wasio Waislam hawaujuwi usafi wa mwili, hao ni pamoja na wale Waislam jina.
Najivunia Uislam wangu, kama kupopolewa Uislam usiogope hilo, haupopolewi mwembe usio na embe.Heshima yako dada, najua wewe ni member mkongwe na mwenye heshima yake lakini ningependa kukupa maoni yangu ili kwa mtazamo wako uangalie kama ni chanya au ni hasi. Ni kuhusu hizi mada za vijana, tafadhali usiuingize Uislam maana vijana hawa hawaelewi punde tu wataanza kukupopoa na kukuona ni mdini (Mfia dini).
Sawa lakini huwa naumia kiasi fulani kwa dhihaka wanazokufanyia vijana.Najivunia Uislam wangu, kama kupopolewa Uislam usiogope hilo, haupopolewi mwembe usio na embe.
Uislam ni mwema sana, tunafundishwa usafi kuanzia tukiwa watoto wadogo.
Ningekuwa naumia nisingekuwepo hapa.Sawa lakini huwa naumia kiasi fulani kwa dhihaka wanazokufanyia vijana.
Uko vizuri kichwani wewe ndiomana nakupenda hivyo hivyo hata iweje nakupenda hivyo. Wanawake Waislamu hasa wa kweli kwenye Usafi 💯💯💯Manukato hayahusiani na usafi kabisa, tena manukato kama usafi hakuna ni mchanganyiko maalum wa bomu la harufu ya kiajabu.