Wanawake wengi wanaojivunia Uzuri wa Makalio wamejisahau kwenye Usafi wa Mwili: Wazingatie Manukato baada ya kuoga

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Sina mengi sana ile wenye wapenzi vibonge tunapata hio kero ya kujirudia miongoni mwa vibonge ambao ni wapenzi wetu.

Vibonge ukiona mwanaume hakutafuti mara kwa mara jiulize kama sio shoo mbovu basi ujue umekosa maksi kwenye Usafi wa mwili.

Zama hizi sabuni nzuri zipi na perfume nzuri zipo, tafadhari vibonge wajitahidi kwenye eneola usafi hasa harufu ya kunukia ipewe kipaumbele.

Tako pekee yake bila kuwa mwenye kunukia watajikuta wanatumika kama spea.

Mwanamke kibonge ukiona mwanaume hakutafuti mara kwa mara kama sio shoo mbovu basi ujue umekosa maksi kwenye Usafi wa mwili.

Vibonge wabadilike

Ni hayo tu Chief Wadiz
 
Wanawake wengi kwenye suala la usafi wa mwili wamefanikiwa, hata wale wenye hulka ya uchafu kwenye suala la mwili huwa hawafeli sana wanaofeli ni wachache.

Kinachonikera ni pale unakutana na mwanamke anajiremba ila anapoishi ni pachafu vyombo vina ukoko, sufuria iko juu ya meza kijiko kwenye kochi alafu huko nje kala makeup kavaa high heels anatembea kama anatakaa kupaa na kucha zake kama shetani, unaweza kumsusia nyumba yan
 
Kuna kale ka mstari katikati ya makalio kanakuwa kanafanya weupe kama maparachichi kutoka Mbeya yakipata baridi :AAAA: :AAAA: :AAAA:
 
Wanawake wengi kwenye suala la usafi wa mwili wamefanikiwa, hata wale wenye hulka ya uchafu kwenye suala la mwili huwa hawafeli sana wanaofeli ni wachache.

Kinachonikera ni pale unakutana na mwanamke anajiremba ila anapoishi ni pachafu vyombo vina ukoko, sufuria iko juu ya meza kijiko kwenye kochi alafu huko nje kala makeup kavaa high heels anatembea kama anatakaa kupaa na kucha zake kama shetani, unaweza kumsusia nyumba yan
Leo tunaongelea miili chief maghetoni weekend ijayo
 
Sina mengi sana ile wenye wapenzi vibonge tunapata hio kero ya kujirudia miongoni mwa vibonge ambao ni wapenzi wetu.

Vibonge ukiona mwanaume hakutafuti mara kwa mara jiulize kama sio shoo mbovu basi ujue umekosa maksi kwenye Usafi wa mwili.

Zama hizi sabuni nzuri zipi na perfume nzuri zipo, tafadhari vibonge wajitahidi kwenye eneola usafi hasa harufu ya kunukia ipewe kipaumbele.

Tako pekee yake bila kuwa mwenye kunukia watajikuta wanatumika kama spea.

Mwanamke kibonge ukiona mwanaume hakutafuti mara kwa mara kama sio shoo mbovu basi ujue umekosa maksi kwenye Usafi wa mwili.

Vibonge wabadilike

Ni hayo tu Chief Wadiz
Manukato hayahusiani na usafi kabisa, tena manukato kama usafi hakuna ni mchanganyiko maalum wa bomu la harufu ya kiajabu.

Siku hizi wengi wananuka kwa kujifanya waarabu na wahindi feki. Ngozi nyeupe za madawa zinanuka sana, nywele za maiti na feki zina harufu mbaya sana zikikosa usafi. Wengi hawajui usafi wake.

Watanzania, hususan wasio Waislam hawaujuwi usafi wa mwili, hao ni pamoja na wale Waislam jina.
 
Heshima yako dada, najua wewe ni member mkongwe na mwenye heshima yake lakini ningependa kukupa maoni yangu ili kwa mtazamo wako uangalie kama ni chanya au ni hasi. Ni kuhusu hizi mada za vijana, tafadhali usiuingize Uislam maana vijana hawa hawaelewi punde tu wataanza kukupopoa na kukuona ni mdini (Mfia dini).
 
Najivunia Uislam wangu, kama kupopolewa Uislam usiogope hilo, haupopolewi mwembe usio na embe.

Uislam ni mwema sana, tunafundishwa usafi kuanzia tukiwa watoto wadogo.
 
Sawa lakini huwa naumia kiasi fulani kwa dhihaka wanazokufanyia vijana.
 
Hayo manukato pia ya kuangalia , binadamu kwa asili ni msafi haweza kuleta harufu za ajabu ...Sasa paka manukato halafu usiwe unaoga hasa haya marangi ya midomo , ile wanaopaka usoni sijui ndio chokaa mtu anakuwa mweupe. manukato mazuri ni kama body wash na shower gel kama perfume ziwe zile og .

Wakienda haja ndogo hawajisafishi ng'o ! Hapo kama nguo ya ndani inabaki na mikojo...Wengine hata wafanye mapenzi wanajisafisha kwa kitambaa au toilet paper , wanatembea nazo kweny mikobao hawana muda na kutumia maji .

Mwingine kapaka rangi ya mdomo ila meno ya njano , wanatisha kwa kweli.

Yaani yale makemikali yanatakiwa mtu asafishe then apake tena , ukitaka manukato ya kawaida labda kujifukiza ...Kuna haya mawigi nayo ni taka taka kabisa yaani yananuka , mtu anaunga kwa ngundi kichwani ni uchafu .
 
Sawa lakini huwa naumia kiasi fulani kwa dhihaka wanazokufanyia vijana.
Ningekuwa naumia nisingekuwepo hapa.

Uislam ni nwema sana, hauna dhihaka za kijinga.

Napata fursa kubwa sana ya kuulingania Uislam.

Naamini wengi sana, walio na wasio Waislam, wamamepata kujuwa japo moja la Kiislam kupitia kwangu.
 
Manukato hayahusiani na usafi kabisa, tena manukato kama usafi hakuna ni mchanganyiko maalum wa bomu la harufu ya kiajabu.

Siku hizi wengi wananuka kwa kujifanya waarabu na wahindi feki. Ngozi nyeupe za madawa zinanuka sana, nywele za maiti na feki zina harufu mbaya sana zikikosa usafi. Wengi hawajui usafi wake.

Watanzania, hususan wasio Waislam hawaujuwi usafi wa mwili, hao ni pamoja na wale Waislam jina.
Uko vizuri kichwani wewe ndiomana nakupenda hivyo hivyo hata iweje nakupenda hivyo. Wanawake Waislamu hasa wa kweli kwenye Usafi 💯💯💯
 
Back
Top Bottom