Wanawake wengi wenye "CHURA" hamnazo

Wanawake wengi wenye "CHURA" hamnazo

Ni kweli wanawake kwenye chura akili zao zipo kwenye michura yao ndio maana kazi yao kuzurura hawataki kupanda husafiri ILA ni wavivu kufikiria maisha
 
KunaCHURA original na CHURA za kichina, wewe mtoa mada upo wapiii
 
Mkuu tutake radhi. Tatizo mnaona chura tu mnafuata bila hata kuangalia vingine. Kama kilichokuvutia kwake ni chura peke ake lazima ukutane na hayo. Ila wapo wenye vyura wao na wana akili nyingi tu.
 
Mkuu tutake radhi. Tatizo mnaona chura tu mnafuata bila hata kuangalia vingine. Kama kilichokuvutia kwake ni chura peke ake lazima ukutane na hayo. Ila wapo wenye vyura wao na wana akili nyingi tu.
Rafiki ni kweli kichwani hamna kitu kisa chura ipo?
 
Mkuu tutake radhi. Tatizo mnaona chura tu mnafuata bila hata kuangalia vingine. Kama kilichokuvutia kwake ni chura peke ake lazima ukutane na hayo. Ila wapo wenye vyura wao na wana akili nyingi tu.
"Wengi wao" naomba nione chura wako pls

Sent from my HTC Desire 828 using JamiiForums mobile app
 
Kaka we ujawahi kukutana na vidada vyembamba visumbufu sana
Mange kimambi
Hamisa mobeto
Vanesa mdee
Hiyo n mifano tu kaka wanawake wembamba ctaki kuwasikia viroho vyao vipo kwenye mbavu
Hahahaha
 
Afadhali umeligundua hili... Nilikua na rafiki yangu ana chura mzigo ila akili yake ipo hukohuko kwa chura!!! Binti alikua ananipa stress kudeal nae... Yupo slow kimawazo ile mbaya!
Kwani we Chura yako haijakukula akili?
Au we huna
 
Hiki kitu huwa kinanishangaza na kunisikitisha sana, imefikia kipindi nikiona mwanamke mzuri mwenye umbo la kuvutia, nina hukumu tu moja kwa moja kuwa kichwani hakuna, most of them ni sifuri kabisa, very emotional and they never think logically.
Kifupi anaona anatembea na mtaji kwahyo hataki kuumiza kichwa.
 
Hii ina ukweli kwa asilimia zote, mchumba wang ana chura aisee yn ni kichomi moja haikai mbili haisogei, yuko very emotional hana logic, hana muda wa kukaa kupanga mambo ya maendeleo,najuta ndo nmeshazaa nae hata sijui nimfanyeje aiseeh!
Maendeleo panga wewe kidume..chukua Chura hyo mkuu.
Si wengine tuna vimbau mbau matokeo yake tunageuza shingo sana road.
 
Back
Top Bottom