Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
KWELI MKUU SI UNAMUONA GIG MONEY?
Yule si demu bali ni zimwi tu na kule kufilwa ndiko kunamchanganya akili mpaka hajitambui.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KWELI MKUU SI UNAMUONA GIG MONEY?
Huwaga nacheka sana nikisikia hilo jina, hivi ni nani alilitohoa into Sepenga?Mfano Sepenga ni kwel hamnazo
Original huwa asilimia kubwa akili zipoOriginal bhana
Rafiki ni kweli kichwani hamna kitu kisa chura ipo?Mkuu tutake radhi. Tatizo mnaona chura tu mnafuata bila hata kuangalia vingine. Kama kilichokuvutia kwake ni chura peke ake lazima ukutane na hayo. Ila wapo wenye vyura wao na wana akili nyingi tu.
Sio wote. Wengi hasa waliokimbia shule ndo akili zao zimeishia kwenye chura.Rafiki ni kweli kichwani hamna kitu kisa chura ipo?
"Wengi wao" naomba nione chura wako plsMkuu tutake radhi. Tatizo mnaona chura tu mnafuata bila hata kuangalia vingine. Kama kilichokuvutia kwake ni chura peke ake lazima ukutane na hayo. Ila wapo wenye vyura wao na wana akili nyingi tu.
Wangu sio chura mkuu ni mtoto wa chura.
NakutumiaNione basi jmn
HahahahaKaka we ujawahi kukutana na vidada vyembamba visumbufu sana
Mange kimambi
Hamisa mobeto
Vanesa mdee
Hiyo n mifano tu kaka wanawake wembamba ctaki kuwasikia viroho vyao vipo kwenye mbavu
Kwani we Chura yako haijakukula akili?Afadhali umeligundua hili... Nilikua na rafiki yangu ana chura mzigo ila akili yake ipo hukohuko kwa chura!!! Binti alikua ananipa stress kudeal nae... Yupo slow kimawazo ile mbaya!
Kifupi anaona anatembea na mtaji kwahyo hataki kuumiza kichwa.Hiki kitu huwa kinanishangaza na kunisikitisha sana, imefikia kipindi nikiona mwanamke mzuri mwenye umbo la kuvutia, nina hukumu tu moja kwa moja kuwa kichwani hakuna, most of them ni sifuri kabisa, very emotional and they never think logically.
Maendeleo panga wewe kidume..chukua Chura hyo mkuu.Hii ina ukweli kwa asilimia zote, mchumba wang ana chura aisee yn ni kichomi moja haikai mbili haisogei, yuko very emotional hana logic, hana muda wa kukaa kupanga mambo ya maendeleo,najuta ndo nmeshazaa nae hata sijui nimfanyeje aiseeh!
Mie flat screen!Kwani we Chura yako haijakukula akili?
Au we huna
Mh wanasemaga flat wachoyo hao.. sijui kweli! !Mie flat screen!