Wanawake wenye akili ndogo

Wanawake wenye akili ndogo

We unawaona wajinga na wao wanakuona mjinga kwahiyo wote mnadharau endelea kuonja ladha ya sumu uliyompa nae akakurudishia
 
Habari wanajamvi,

Kutokana na utafiti wangu wa hapa na pale kuhusiana na wanawake nimekuja kugundua asilimia kubwa ya wanawake ambao uwezo wao ni mdogo wa kufikiri(especially hawa wa uswahilini ila sio wote) wanakua na kidharau fulani ivi cha kijinga kwa mfano unaeza mfuata ukamsalimia demu normal tu namuongee ila atakavyo kujibu au dharau atakazokuonyesha kama wewe ni takataka fulani..... Like what the JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala mtu mwenyewe ukimuangalia kavaa kijora kimepauka kichwani hana lolote saa nyingine ni form four zero.

Ila kwa upande mwengine kuna baadhi ya wanawake wenye uwezo mkubwa wa kufikiri ambao nimekutana nao they are very polite and generous compared tu hawa akina mwajuma ndalandefu ambao kichwani amna kitu zaidi ya vigodoro na kunuka shombo
unatafuta mini lakini na wewe huko tandale,
si unasaka ugomvi tu musee
 
Wewe lazima limekukuta Jambo,maana sio kwa povu lote Hilo.

Ila pole.
 
Nikikataliwa iwe vizuri au vibaya daima huwa nakuwa neutral, hii ni mbinu ya kuweza kufanya jaribio tena baadae.
Hii nzuri ila nimeona kuna hao wakikataliwa wanakasirika. Huwa nacheka mana sio lazima kama mtu hataki si unamuacha . Utaskia mtu mwenyewe mbaya nilikua nakujaribu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani hutambui kwamba watu hutofautina kwa kila kitu kuanzia jina rangi tabia urefu, na mengineyo, hamna cha kushangaza hapo.

Akili ndogo haipimwi kwa salam.

Kuna watu wana akili mingi ila wana dharau vilevile.

Labda kwa tafsiri yako ulimwona wa hadhi ya chini ukategemea atakushobokea.

Mwenye shida niwewe kuweka expectation nyingi kwa watu usio wajua.
NAKAZIA 🔨
 
Hii nzuri ila nimeona kuna hao wakikataliwa wanakasirika. Huwa nacheka mana sio lazima kama mtu hataki si unamuacha . Utaskia mtu mwenyewe mbaya nilikua nakujaribu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hayo ni maneno ya mkosaji 😂
Sio lazima kila unachokihitaji/kipenda ukipate
 
Habari wanajamvi,

Kutokana na utafiti wangu wa hapa na pale kuhusiana na wanawake nimekuja kugundua asilimia kubwa ya wanawake ambao uwezo wao ni mdogo wa kufikiri(especially hawa wa uswahilini ila sio wote) wanakua na kidharau fulani ivi cha kijinga kwa mfano unaeza mfuata ukamsalimia demu normal tu namuongee ila atakavyo kujibu au dharau atakazokuonyesha kama wewe ni takataka fulani..... Like what the JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala mtu mwenyewe ukimuangalia kavaa kijora kimepauka kichwani hana lolote saa nyingine ni form four zero.

Ila kwa upande mwengine kuna baadhi ya wanawake wenye uwezo mkubwa wa kufikiri ambao nimekutana nao they are very polite and generous compared tu hawa akina mwajuma ndalandefu ambao kichwani amna kitu zaidi ya vigodoro na kunuka shombo
Kichwani FORM 4 zero....

Wa kutoka Kaya maskini....

Hana la maana zaidi ya kutafuta "buku 3" kupitia "biashara kongwe"........

Wao kutwa "Kausha damu" wakichukua basi kwenda kutunza SHUGHULINI.......

Wacha "classwomen" wanate tu....
 
Back
Top Bottom