Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Tatizo mudaTuma picha mkuu mimi huku manzese kwa mfunga mbwa siwezi kuja na hofia usalama wa gari la ngu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo mudaTuma picha mkuu mimi huku manzese kwa mfunga mbwa siwezi kuja na hofia usalama wa gari la ngu
Siku hizi wanazidi kuongezeka, punguzeni chips yai. Kuleni sana vegetablesWewe ukiwa na utelezi nusu dampo usijumuishe na wengine wako na utelezi safi
Wewe ni unalo la aina gani?Jisemee mwenyewe mjomba.
Mshauri demu wakoSiku hizi wanazidi kuongezeka, punguzeni chips yai. Kuleni sana vegetables
Wewe ni baharia?Hapana kwa kweli Mimi sivipendi.. flat tummy ni raha sana.
Ukute ni flat tummy alafu awe ameweka kipini kidg na kale kamchirizi flan kanakuwaga kaanzoa kitovun mpk kwenye K hivi.
Pia uzur flat tummy ukimpiga Mashine pale kwenye tumboo unaiona kbs mashine inapekenyua tumbo kwa ndani
Nikki wa PiliDuh... nchi ina watu wenye akil ndogo sana aisee...
Mkuu nasikia na wewe ni DC.... kah
Mbona unajibu kishari shari? Una tatizo lolote na mimi?Mshauri demu wako
Kiunoni huku mmejibinuaMnatuchosha sasa sijui tushike lipi
Kwa wengine kama tumbo ndio kama hivyo ngumu kufikia utelezi 😄😂😂 Kikubwa utelezi uwepo mengineyo mbwembwe tu
Tayari nayo lakini mtakuja na lingine 😂😂Kiunoni huku mmejibinua
Kitumbo cha kushikashika sio! Tunakoelekea mtasema mnataka wanawke wenye vindevu kdgo muwe mnashikashika........ Kuweni makini safar bdo hii tusijeacha watu njianiHata mm navipenda sana ila kisiwe kikuuubwa kama sufuria la uji kun mda unakua unakishikashika😋😋
Tutafika mbinguni tumechoka sanaKwa wengine kama tumbo ndio kama hivyo ngumu kufikia utelezi 😄
Uko na shida zako binafsi usinijumuisheMbona unajibu kishari shari? Una tatizo lolote na mimi?
Mmmh mbona mimba kabisaUkweli wanaume wengi(80%) tunavutiwa sana na hivi vitumbo kuliko hayo matumbo yenu flat. Bahati mbaya hatuwaambii, leo nawasanua kuwa tunavutia navyo Sana.
Wanaume wachache sana ambao watakataa ni wageni kwenye angle ya mapenzi na muonekano wa wanawake. Hivi vitumbo vipo sex sana, simaanishi Yale matumbo makubwa. Nadhani wengi mnavijua hivi
Hivi vitumbo (belly fat) vina mvuto na msisimko sana kuliko tumbo flat, tena ukute mnavaa zile skirt fupi plain ( Pencils Skirt) hakuna mwanaume ataacha kuconcetrate kuangalia hapo. Wenzenu wajanja wachache waliostuka ndio wanatumia kwenda kuombea pesa.
Kwenye vikao vyetu vyote tumekubaliana wanawake wenye hivi vitumbo chukueni maua yenu mapema sana.
View attachment 2624263View attachment 2624264
Kwanini Mkuu...Wewe ni baharia?