Wanawake wenye hizi tabia wanastahili heshima sana na kuthaminiwa

Sasa muda kama huu ndo wa kuambiwa
"Mi naenda kulala we ulivo sasa bado utaendelea kuangalia TV, usiniamshe nakwambia nikishalala"

Sisi wa lugha za ishara hivi tupewe hata bandai ya Bagamoyo tumiliki sambamba na wachina
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Umetoka huko ulikokuwa kuja kushusha ego za watu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dhambiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…