Cmfungua
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 381
- 1,083
- Thread starter
- #161
Mpewe na novida ya barid mmezid uongo sanaHa
po pa mwisho eti kufumba macho wakati inaingia.
Hapo inakuwaga wizi tu. Ili kuficha mshangao wa kadude kanakoingia.
Especially kwa mtu aliejimwambafy sana kuwa ni ze beast. Sasa ze bisti jamani wakati weapon of destruction hakana ushirikiano?
So ili kuficha feelings tunafumba macho jamani.
Hizo chocolates asante hatustahili kwa kweli. [emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]