Hayupo kwa sababu Tabia za kupenda makalio makubwa ni Tabia za watu maskini.Sikumbuki kuona mwanaume yeyote aliyefanikiwa sana iwe kwenye siasa, biashara, michezo, Sanaa n.k ambaye ameoa mwanamke mwenye makalio makubwa ila ajabu ni kwamba wanawake wenye makalio makubwa ndio gumzo zaidi katika mazungumzo ya wanaume!
Ni kwa sababu watu wenye mafanikio huchaguanMwanamke kwa kigezo cha kujenga future, Mwanamke mwenye Tabia ya kuleta familia endelevu, sasa watu hawa wenye Uwezo wa akili na fedha hizo Tabia hawazioni kwa wanawake wenye makalio makubwa.Ungeanza wewe kujibu
Je una mafanikio, mke wako ana makebo makubwa na kama hana kwanini hukuchagua mwenye makebo makubwa?
Kwenye kujidungabmasindanobnakataa, Mwanamke wa kiafrika Yuko natural Sana tofauti na Wazungu ambao ilinawe na Makebo lazima achome sindano au plastic surgeryYanafurahisha tu ukiyaona kwenye nguo...Halafu wengi wenye hayo makebo utakuta ni kutokana na obesity au kuzaa na kisha kujidunga masindano ya uzazi wa mpango
Na Wana kuamini kweli kweli som uzi;wamgu waHivi, kwenye hansad haijaandikwa kwamba "mwanamke mwenye makalio makubwa anatakiwa ajiamini sana kuliko mwenye elimu kiwango cha degree"?
Kwenye social media wanaoonekana Wana vitu vya kusomesha Tu kama Harusi, mavazi, mitoko, lakini deep down Wana maisha magumu kichizi, ili amantain inabidi awe anajiuza sanaSasa si akili zinakuwa kule kwenye makebo?
Angalia hata mitandaoni wenye drama ji akina nani? Na wana nini zaidi ya hayo makebo?
Nilishauri wakabidhiwe kesi za uhaini haraka ili tuondokane na mabalaa mijini.Na Wana kuamini kweli kweli som uzi;wamgu wa
"stori za Wanawake wanaojiita High Classic"
Bila shaka we ni mwenzangu napenda nyamaSina mafanikio makubwa.
ok.🐒Sikumbuki kuona mwanaume yeyote aliyefanikiwa sana iwe kwenye siasa, biashara, michezo, Sanaa n.k ambaye ameoa mwanamke mwenye makalio makubwa ila ajabu ni kwamba wanawake wenye makalio makubwa ndio gumzo zaidi katika mazungumzo ya wanaume!
Kuna jambo halipo sawa kuhusu hii hali.
Kwa nini wanawake wenye makalio makubwa hawapendelewi na wanaume wenye mafanikio makubwa ?
HahahaNilishauri wakabidhiwe kesi za uhaini haraka ili tuondokane na mabalaa mijini.
Makalio yapo au hamnaSina mafanikio makubwa.