Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Ukienda kwenye migahawa na Ma Bar wamejaa wao, 99% ni single mazas waliotumika na kuachwa.Wanawake wenye makebo hidhani dunia inazunguka kwao tu... Ila hawajui makebo ni kama bidhaa ya kutumika na kuna muda inaishia..
Hii ni balaa