Wanawake wenye makalio makubwa hawapatani na wanaume wenye mafanikio makubwa sana?

Wanawake wenye makalio makubwa hawapatani na wanaume wenye mafanikio makubwa sana?

Kwa mwanamume aliyefanikiwa, mke anayemuoa anachukuliwa kama taswira yake katika jamii, mfano awe mfanyabiashara au kiongozi...

Na matajiri wengi huwa wana hofu ya kutumika kwa ajili ya pesa zao, hivyo hutafuta mwenza ambaye ana akili ya kuendesha biashara, ambae ana akili ya kuongoza familia hata pale mwanaume anapokuwa hayupo..

kwao kalio sio priority...
 
Sisi makabwela hatuwezi kukosa vyote, hiyo Mimi nilikataa, nikose pesa nikose na kalio la kuchezea? Japo kufurahisha macho
 
makalio makubwa hyana mvuto kiuhalisia yana mabonde, mistari na michirizi

Upate mwanamke ako na hips medium na tako medium hao ndo wenye mvuto

Asa tako km la Nicole Joy au malkia yule wa Richardo tako gani hilo sasa

Tafuta mabinti kama kina Jesinta Makwabe eeh, kina kajala miili ya asili na uasili wake hauishi
Bado unazidi kuapprove hii hypothesis kuwa wanawake wenye makalio mkubwa wengi hawapo kwenye ndoa.

Pfunk alimuacha huyo Kajala

Diamond akamuacha huyo Wema yule mwenye matako kama Beseni.
 
679555.jpg
 
Ila mimi naona wenye makebo wengi huishia kuwa na vibiashara kama vigoli tu vya kujiegesha huku biashara kubwa ikihamia kwenye makebo
Exactly! Wengi wao utawakuta saluni au kwenye mahoteli wakifanya kazi za kawaida sana. Kumbe lengo lao kubwa sio kazi bali ni kutega mingo waonekane kwa mapedeshee wawakamue njuru!
 
Wanaume wenye "mafanikio makubwa sana" huwa na umri mkubwa vile vile. Wanakuwa tayari wapo kwenye ndoa muda mrefu na umri wa wake zao huwa umeenda pia.

Lile umbile la namba nane linapotea kwenye utu uzima. Inawezekana makebo yakawepo ila kiriba tumbo na uzito wa kiunoni vinaleta muonekano wa tofauti.
Kunenepa ni kulidhika au kula sana kisha hukifanyii kazi ?
 
Back
Top Bottom