tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 27,843
- 29,350
Kwanini hawafai kuoa mkuu?Hao ni kwaajili ya starehe ya muda mfupi tu...
Kwanini hawafai kuoa mkuu?Hao ni kwaajili ya starehe ya muda mfupi tu...
Nilikuwa nasubiria comment yako mtaalam.Wanawake wenye makalio makubwa wengi hawana upeo kiakili. Attention wanayoipata kutoka kwa wanaume wanaowatamani kingono inawajengea mawazo kwamba wanaweza kupata chochote kirahisi. Hiyo abundance of choices ya masimp wanaolandalanda kwenye dms zao ndio inawafanya wasijenge mazoea ya kutumia akili zao to the maximum extent kwenye masuala magumu kama kusoma, kubuni miradi, nidhamu ya fedha n.k
Akili zao ni kama za wala rushwa. Mla rushwa akili zake zipo kwenye kumong'onyoa tu fedha za umma sio kuwekeza. Atakumbuka kuwekeza siku akitimuliwa kazi.Wanawake wenye makalio makubwa wengi hawana upeo kiakili. Attention wanayoipata kutoka kwa wanaume wanaowatamani kingono inawajengea mawazo kwamba wanaweza kupata chochote kirahisi. Hiyo abundance of choices ya masimp wanaolandalanda kwenye dms zao ndio inawafanya wasijenge mazoea ya kutumia akili zao to the maximum extent kwenye masuala magumu kama kusoma, kubuni miradi, nidhamu ya fedha n.k
Du! Ina maana amekuja kufunga uzi mkuu? Ila humu JF kuna raha sana aisee🤣😅😂Nilikuwa nasubiria comment yako mtaalam.
Kwa Leo Mimi Uzi huu naishia hapa
Tena akili zikirudi unaliona kinyaa..Harafu sasa ukishalimwaga unaona kabisa hayana maana, Linatia kabla hujakojoa
Acha Ubishi sikiliza wadauSio Kila mwenye tako hana akili maofsn Huku mbona wapo na wana vyeo vkubwa Kila aina ya wanawake Kuna wenye akili na wasio kuwa nazo
🤣🤣🤣Nyege ni hatari sanaTena akili zikirudi unaliona kinyaa..
Hata hao unaowaona kuwa na akili huko ofisini wasingekuwa na makalio makubwa wangekuwa mbali sana mkuu.Sio Kila mwenye tako hana akili maofsn Huku mbona wapo na wana vyeo vkubwa Kila aina ya wanawake Kuna wenye akili na wasio kuwa nazo
Ile ni Miwa iliyopandwa karibu na shule ya bweni Kila mwanafunzi anatamani kuikata....Kwanini hawafai kuoa mkuu?
Mwache naye ajimwayemwaye mkuu.....hapa ni freestyle😂😅🤣Acha Ubishi sikiliza wadau
Sio kila miwa iliyopandwa karibu na shule inafaa kuliwa mkuu. Mingine ina wadudu ndani.Ile ni Miwa iliyopandwa karibu na shule ya bweni Kila mwanafunzi anatamani kuikata....
Kwa kweli nyege hazijawahi kumuacha mtu salama mkuu. Nyege zinaweza kukufanya ukapoteza akili kwa muda lakini ukishamwaga tu, akili zinarudi unatamani ardhi ipasuke ujifiche🤣😅😂🤣🤣🤣Nyege ni hatari sana
Mtoa mada kaangalia kwenye upande wa kuoa. Ndio maana kahoji kwanini wenye makalio makubwa sio chaguo la wanaume wenye mafanikio.Sio Kila mwenye tako hana akili maofsn Huku mbona wapo na wana vyeo vkubwa Kila aina ya wanawake Kuna wenye akili na wasio kuwa nazo
Pesa, muda, Mali vimeshapoteaKwa kweli nyege hazijawahi kumuacha mtu salama mkuu. Nyege zinaweza kukufanya ukapoteza akili kwa muda. Ukishamwaga tu, akili zinarudi unatamani ardhi ipasuke ujifiche🤣😅😂
Mimi sijawahi kuwaelewa kabisa. Nikiona tu mwanamke ana msambwanda najua kichwani zero brainAkili zao ni kama za wala rushwa. Mla rushwa akili zake zipo kwenye kumong'onyoa tu fedha za umma sio kuwekeza. Atakumbuka kuwekeza siku akitimuliwa kazi.
Hata wanawake wenye makalio manene kama Wema Sepetu hukumbuka kuwekeza pindi makalio yao yanavyoisha thamani.
Excellent!!Tutabaki nao sisi makapuku tunapenda makebo
Wapole mno na wenye huruma....Vimbau mbau ni Jeuri na wenye kujiamini kuliko pitiliza ...na wanapenda kuwaonea wanene kwa kuwapiga na wakilenga sana sehemu ya msambwanda kwa sababu ya wivu...Mimi sijawahi kuwaelewa kabisa. Nikiona tu mwanamke ana msambwanda najua kichwani zero brain