Antennah
JF-Expert Member
- Oct 14, 2015
- 7,035
- 9,279
hahahahahahaTutabaki nao sisi makapuku tunapenda makebo
hahahahahahaTutabaki nao sisi makapuku tunapenda makebo
Haha wale chakaramu hawaelewi Hilo ni kama Jongoo Hadi ajigonge ndio ajue kina kitu kimemzuia.Sio kila miwa iliyopandwa karibu na shule inafaa kuliwa mkuu. Mingine ina wadudu ndani.
Sjui unazungumzia nn kuachwa kwa kajala na makalio ndiyo yanayotoa heshima, ama ndiyo yatakufanya ujione mume bora?? Hapo nilizungumzia wanawake wenye makalio ya mid size na sio ishu ya ndoaBado unazidi kuapprove hii hypothesis kuwa wanawake wenye makalio mkubwa wengi hawapo kwenye ndoa.
Pfunk alimuacha huyo Kajala
Diamond akamuacha huyo Wema yule mwenye matako kama Beseni.
Eeh! Mkuu hivyo huyo naye ana makalio hayo yanayoitwa makubwa?Tutabaki nao sisi makapuku tunapenda makebo
Hawa wanawatumiwa pembeni tu, nyumbani wanaoa wanawake wa kawaida.Sikumbuki kuona mwanaume yeyote aliyefanikiwa sana iwe kwenye siasa, biashara, michezo, Sanaa n.k ambaye ameoa mwanamke mwenye makalio makubwa ila ajabu ni kwamba wanawake wenye makalio makubwa ndio gumzo zaidi katika mazungumzo ya wanaume!
Kuna jambo halipo sawa kuhusu hii hali.
Kwa nini wanawake wenye makalio makubwa hawapendelewi na wanaume wenye mafanikio makubwa ?
Mastaz kabisa kiongozi. We unathani aliekua spika wa jamuhuri na uanasheria wake akikutana na Nifa mbele za watu. nan ana kua na makomfides na watu wamzingatia nan zaidii? Ila ni utani tuuHivi, kwenye hansad haijaandikwa kwamba "mwanamke mwenye makalio makubwa anatakiwa ajiamini sana kuliko mwenye elimu kiwango cha degree"?
Hatuwez kufanana mawazoAcha Ubishi sikiliza wadau
Kwa hiyo wanaume makapuku mjini mkiwa mnamiliki wanawake wenye makalio makubwa mnaona maisha kama mmeyapatia tayari?😁Hahaha mkuu umegusa jambo la watu wengi, mimi naona hii ni kawaida tu. Wenye makebo wanajiamini na wana charm yao, lakini wale wenye mafanikio wanaona sio kipaumbele. Hata mimi naona sisi makapuku ndio tunawathamini zaidi, maana ndio wanatupa heshima na mapenzi ya dhati. Drama nyingi zinatoka kwa wenye makebo? Sijui, labda ni bahati mbaya tu. Lakini mzaha uko wazi, sisi tunapenda kile tunachokipenda, haha!
Hawawez kuwa sawa si sabab ya mwanamke et anahongwa tu, pesa ya mwanaume Ina matumiz meng hajala hajavaa hajahonga plus mahitaj mengne bnafs, huwez mlinganisha na mwanamke pesa ya mwanamke itahusika kwa matumiz yake bnafs hvo atakua na unafuu wa maisha hata kama mshahara wao utalinganaMtoa mada kaangalia kwenye upande wa kuoa. Ndio maana kahoji kwanini wenye makalio makubwa sio chaguo la wanaume wenye mafanikio.
Uko maofisini ni mada nyingine. Kuna factors kama connection, rushwa ya ngono, nepotism zina nguvu ya kumwezesha mtu kupata kazi au kupanda cheo.
We haushangai mwanaume na mwanamke wanalipwa mshahara sawa ofisini lakini mwanaume kila siku anakuja na kuondoka kwa usafiri wa daladala wakati mwanamke analetwa na kuja kuchukuliwa na bodaboda
Tutapigana humu ndani nakwambia 😂😂😂😂😂😂
DuuhExactly! Wengi wao utawakuta saluni au kwenye mahoteli wakifanya kazi za kawaida sana. Kumbe lengo lao kubwa sio kazi bali ni kutega mingo waonekane kwa mapedeshee wawakamue njuru!