Wanawake wenye makalio makubwa hawapatani na wanaume wenye mafanikio makubwa sana?

Wanawake wenye makalio makubwa hawapatani na wanaume wenye mafanikio makubwa sana?

Mwanamke mwenye mataco ni macho juujuu sana. Mwanaume anaetaka kufanikiwa huhitaji utulivu, hio mara mkewe kuna kajama kanamfukuzia inaondoa uwepo wa utulivu, ndio wengi wenye malengo huona mambo yasiwe mengi beba namba moja weka ndani, mataco atakua ananunua no stress
 
Sikumbuki kuona mwanaume yeyote aliyefanikiwa sana iwe kwenye siasa, biashara, michezo, Sanaa n.k ambaye ameoa mwanamke mwenye makalio makubwa ila ajabu ni kwamba wanawake wenye makalio makubwa ndio gumzo zaidi katika mazungumzo ya wanaume!

Kuna jambo halipo sawa kuhusu hii hali.
Kwa nini wanawake wenye makalio makubwa hawapendelewi na wanaume wenye mafanikio makubwa ?
Hao ni chakula tu cha wahuni, mtu serious hawezi oa
 
Wanawake wenye makalio hidhani dunia inazunguka kwao tu... Ila hawajui makalio ni kama bidhaa ya kutumika na kuna muda inaishia..
Kutumia jina la member mwingine kwa lengo la kudhalilisha/kutweza ni kinyume na Mwongozo Mkuu.
 
Kutumia jina la member mwingine kwa lengo la kudhalilisha/kutweza ni kinyume na Mwongozo Mkuu.
Pole kwa muhusika sikujua kama ni jina hilo!

Inajulikana jukwaani humu kuwa makebo = makalio makubwa
 
Wanawake wenye makalio makubwa ni wa kumalizia haja za wanaume tu, lakini sio wa kuoa eti kwenye mitoko uende nao.Ndio maana watu wenye pesa hawaoi au kuwaona nao popote pale, kingine ughaibuni wanaonekana ni wagonjwa wana obesity ndio maana dawa za kupunguza unene ni ghali sana. Huu uzi umenikumbusha series ya Sopranos kuna jamaa Mafia New York boss John Sacramoni alikua na mke mnene, basi jamaa walikua wanamtania sana, anakosa raha na yeye akirudi home ni kugombana na mkewe apungue hadi akampiga marufuku kula kula vitu vyenye kuongeza unene kama chocolates nk. Unene ni ugonjwa na makalio makubwa sio deal labda Africa tu kwa masikini wengi.
 
Tutakata ziwa lako moja 😎
Njoeni🤓
C76031E3-4BC9-4716-A072-20F89ED6E7F5.jpeg
 
Back
Top Bottom