Wanawake wenye makalio makubwa hawapatani na wanaume wenye mafanikio makubwa sana?

Wanawake wenye makalio makubwa hawapatani na wanaume wenye mafanikio makubwa sana?

Mwanamke Mwenye makalio makubwa ni kama bia, ni tamanio la kila mwanaume kwa wakati flan lakin unapotaka kua serious inabid ikae mbali kidogo.
Ukioa hawa sahau kuhusu utulivu na amani ya moyo, muda wote wapo sokoni.
Mwanaume mwenye ndoto kubwa anataka mwanamke atakaekua sehem ya kutimiza ndoto zake kwa namba moja au nyingine na sio mwanamke wa kumconsume au kumburudisha tu.
Kibaya zaid hawa watu wao huwa hawataki mambo ya msingi, maana focus yao kubwa iko kwenye makalio yao, sifa, pesa na starehe.
 
Hayupo kwa sababu Tabia za kupenda makalio makubwa ni Tabia za watu maskini.

Sijawahi ona dunia nzima matajiri wenye magoma ya hatari kama haya ha huku Uswazi kwetu
Hilo liko wazi mkuu. Sasa mwanaume ukose pesa na pia ukose mwanamke mwenye makebo makubwa? Uliona wapi?
 
Wanawake wenye makebo hidhani dunia inazunguka kwao tu... Ila hawajui makebo ni kama bidhaa ya kutumika na kuna muda inaishia..
Watu kama Wema Sepetu ndio wanajua kutumia vizuri makebo yao kupiga pesa kabla hayajaisha thamani. Kuwa na kitu halafu usijue jinsi ya kukitumia kujiingizia kipato ni tatizo kubwa sana hapa duniani.
 
Hiyo iko wazi mkuu. Mwanamke akishakuwa na makebo makubwa hujiona amepata PhD (Hons).
Basi,naagiza waanze kupokea ruzuku kwa ustawi wa taifa lenye furaha.Mheshimiwa waziri wa "hela",liangalie hilo mkishirikiana na waziri wa maendeleo ya akina mama,malezi Bora ya watoto na utunzaji wa wazazi,mnaliwekaje sambamba na TASAF phase lll mkondo huu.
 
Wanaume wenye "mafanikio makubwa sana" huwa na umri mkubwa vile vile. Wanakuwa tayari wapo kwenye ndoa muda mrefu na umri wa wake zao huwa umeenda pia.

Lile umbile la namba nane linapotea kwenye utu uzima. Inawezekana makebo yakawepo ila kiriba tumbo na uzito wa kiunoni vinaleta muonekano wa tofauti.
Sio wote wanaopoteza makebo mkuu. Kuna wanawake watu wazima, tena wengine wana wajukuu kabisa, lakini bado wako vizuri kuliko hata vitoto vya 2000. Ni matunzo tu.....makebo ukiyatunza vizuri yanadumu.
 
Wanawake wenye makalio makubwa wengi hawana upeo kiakili. Attention wanayoipata kutoka kwa wanaume wanaowatamani kingono inawajengea mawazo kwamba wanaweza kupata chochote kirahisi. Hiyo abundance of choices ya masimp wanaolandalanda kwenye dms zao ndio inawafanya wasijenge mazoea ya kutumia akili zao to the maximum extent kwenye masuala magumu kama kusoma, kubuni miradi, nidhamu ya fedha n.k
 
Back
Top Bottom