Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Foleni noma, nimemuona anasonya tuu taratibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Foleni noma, nimemuona anasonya tuu taratibu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mi huwa najiuliza tu haya matumbo wanafuga ya ninni?
Kwani na wewe una kitumbo au kitux? [emoji4]Mmh. Leo zamu ya wapenda kula hovyo hovyo. Kazi ipo mwezi huu.
Tatizo mnapenda kula ovyo halafu mazoezi zeroTuacheni na matumbo yetu bwana,na nyie kaeni na vitambi vyenu,mbona hatukosi wanaotutongoza na matumbo yetu
Ss kula yangu inakupaje taabu ww,pambana na hali yako bwana,wacha tugonge misosi kwan nn bwanaTatizo mnapenda kula ovyo halafu mazoezi zero
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimecheka sana aisee pacha. DuuhTuacheni na matumbo yetu bwana,na nyie kaeni na vitambi vyenu,mbona hatukosi wanaotutongoza na matumbo yetu
Mi niko kawaida mkuu. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwani na wewe una kitumbo au kitux? [emoji4]
Sawa mkuuSafi sana, mi wanawake wenye matumbo makubwa ni mbali sana hata kama wana sura nzuri kiasi gani
Hahahahah Cheka pacha wangu jamani,ss kama wote tukiwa flat inakuwaje,kuna watu wanapenda manyama uzembe wataishije[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimecheka sana aisee pacha. Duuh
Aaah basi nikajua na wewe umo kwenye timu Kitux. Jitahidi usipate sasaMi niko kawaida mkuu. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Ss kula yangu inakupaje taabu ww,pambana na hali yako bwana,wacha tugonge misosi kwan nn bwana
Kwanini mkuuKwenye avatar ndo tumbo lako?
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji8] [emoji8] [emoji8][emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Kweli kabisa pacha.Hahahahah Cheka pacha wangu jamani,ss kama wote tukiwa flat inakuwaje,kuna watu wanapenda manyama uzembe wataishije
Hujambo lkn my