Wanawake wenye matumbo flat wawa vipusa Dar

Tuacheni na matumbo yetu bwana,na nyie kaeni na vitambi vyenu,mbona hatukosi wanaotutongoza na matumbo yetu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimecheka sana aisee pacha. Duuh
 
Hahahahah Cheka pacha wangu jamani,ss kama wote tukiwa flat inakuwaje,kuna watu wanapenda manyama uzembe wataishije
Hujambo lkn my
 
Big up kwa ladies wote wasio na vitambi.. Mnastahili pongezi asee

Sent using North Korean Hydrogen Bomb
 
Back
Top Bottom