Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Huwa nahisi mtu akiwa mnene ananuka 💩Tatizo mnadhani wanawake warembo ni hao wanene, wenye maumbile flani makubwa kupita kiasi.
Lakini ukweli ni kwamba urembo hauko nje, uko ndani.
Na hata hivyo huo 'urembo' ambao vijana wengi mnaupenda, ni dalili ya magonjwa ya moyo na presha.
No offense
Bmw m5 mwanamke akiwa mzuri sio lazima akawa muhuni,omba upate vyote ulivyotaja