Wanawake wenye maumbo mazuri ni wetu.

Tatizo mnadhani wanawake warembo ni hao wanene, wenye maumbile flani makubwa kupita kiasi.

Lakini ukweli ni kwamba urembo hauko nje, uko ndani.

Na hata hivyo huo 'urembo' ambao vijana wengi mnaupenda, ni dalili ya magonjwa ya moyo na presha.
Huwa nahisi mtu akiwa mnene ananuka 💩

No offense

Bmw m5 mwanamke akiwa mzuri sio lazima akawa muhuni,omba upate vyote ulivyotaja
 
aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…