Wanawake wenye midomo myembamba

kedekede

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2016
Posts
5,313
Reaction score
7,714
Wakuu poleni na mihangaiko yawiki nzima,na weekend bila bia naona mpo nyumbani na muda mwingi mashemegi wanawaoneni.Nimechunguza mwenyewe tu wakuu na nikafikia haya ninayoyaandika.Wanawake wenye midomo sampuli hii ni wagonvi na wanaongea sana,ukitaka kujua anza kumchunguza mkeo au girlfriend wako.Wale wenye midomo minene ni wapole na ni wavivu wa kuongea na ni wastaarabu!
 
Kuna wadau pia walilihusisha hili na size ya Papuchi. Eti lips nene na mdomo mpana maana yake huyo mwanamke ana papuchi bwawa na iliyojazia nyama kama ya Miss Natafuta.
Hata mimi niliskia hilo ila walisema midomo ikiwa mipana na papuchi ni pana sijui kama kuna ukweli!
 
Uwa sikubaliani na twaweza za MMU ila hii nimekubaliana nayo kabsaaa
 
Uko sahihi lakini si wote yaweza kuwa 80% ya hao nd'o tabia yao hali kadhalika kwa wenye midomo minene.
 
Ukubwa wa papchi hauwezi kilingana na mdomo kwa sababu mdomo hata utanuke vipi mtoto hawezi kupita lakini kule anapita hebu jiulize na hilo nalo.
 
Kuna wadau pia walilihusisha hili na size ya Papuchi. Eti lips nene na mdomo mpana maana yake huyo mwanamke ana papuchi bwawa na iliyojazia nyama kama ya Miss Natafuta.
Hiyo clause yote nilichofarijika ulivyomtaja miss natafuta yaani roho imesuuzika kama imesuguliwa na yale madodoki yanayofanana na Tango pori
 
Hahahaha!.... Kunani Mkuu na huyo niliyemtaja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…