Wanawake wenye midomo myembamba

Wanawake wenye midomo myembamba

Wakuu poleni na mihangaiko yawiki nzima,na weekend bila bia naona mpo nyumbani na muda mwingi mashemegi wanawaoneni.Nimechunguza mwenyewe tu wakuu na nikafikia haya ninayoyaandika.Wanawake wenye midomo sampuli hii ni wagonvi na wanaongea sana,ukitaka kujua anza kumchunguza mkeo au girlfriend wako.Wale wenye midomo minene ni wapole na ni wavivu wa kuongea na ni wastaarabu!
Kuna wale midomo imechongoka kama wale ndege wanywa asali kwenye maua kwa kuongea hao ka vile kawekwa pilipili kwenye p.........chi
 
Hahahaha!.... Kunani Mkuu na huyo niliyemtaja?
Mapenda tu sampuli za mijanajike kama ya namna ile (avatar yake) natamani ningepata converter ya photo to human hebu mtag ajue
 
Inductive reasoning...it sound logical but its untrue....give us facts and biological reasons.
 
Inductive reasoning...it sound logical but its untrue....give us facts and biological reasons.
 
It's just a theory with a lot of assumptions experienced by your brain and then you swallow and believe it..Lol
 
Back
Top Bottom