dwoxye
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 679
- 353
Mhhh hivi ni miguu myembamba au ni wenye miili myembamba. ?
Miguu asee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhhh hivi ni miguu myembamba au ni wenye miili myembamba. ?
Kwel aisee....hata papachu zao ni mabwawa...
Hahaaaa we huo uongo sasa
yaan wengi wao ni km asili yao..wengi ni wakorofi yaani washarishari..pia wanaroho ya korosho..yaan ni mara chache sana kukubali mafanikio ya wenzao au jema linanalotoka kwa wengine...msinihukumu coz sijasema wote ila asilimia 97 wako ivyo...refer mangie kimavi
Yaani zile nyama zilizokua ziende miguuni zinahamia mdomoni. Shughuli yake Sasa usipime
Mimi ninavyopenda wembamba inabidi nijiandae!!!
yaan wengi wao ni km asili yao..wengi ni wakorofi yaani washarishari..pia wanaroho ya korosho..yaan ni mara chache sana kukubali mafanikio ya wenzao au jema linanalotoka kwa wengine...msinihukumu coz sijasema wote ila asilimia 97 wako ivyo...refer mangie kimavi
Kwel aisee....hata papachu zao ni mabwawa...
hahaha si umtaje tu Mang'e kimambii unazunguuka
Habari wanajamvi, nadhani mtakuwa swalama.
Nimeona nije na huu uzi kwa maana juzi juzi nilikuwa maeneo ya Dodoma.
Jamaa mmoja akawa akisema kuwa wanawake wenye miguu myembamba wameonekana wakiwa na midomodomo sana kwenye ndoa zao.
Ningeomba nipate uhakika wa hilo.