Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nani ana dawa anifanyie ili niwe na miguu minene
Mimi ninavyopenda wembamba inabidi nijiandae!!!
Kwel aisee....hata papachu zao ni mabwawa...
nani ana dawa anifanyie ili niwe na miguu minene
Duuuhh miguu membamba hoyeeeee..
Bora hata mimi mwembamba na miguu membamba in short imeendana na mwili so hii mada hainihusu ngoja nikimbie zangu
Kama una miguu membamba ....haina jinsi lazima uwe hivyo...papachu oversized
Mweeeee yangu mnato muulize hata sumbai
Mweeeee yangu mnato muulize hata sumbai
Mkuuu umeniacha hoi
TeAm mnatoo....
Hahahaaa mkuu kweli.. huyo jamaa ananipakazia maana hanijui sasa akamuulize sumbai
Sumbai kadhibitishaaa kwel we n mnatooo og
Asante kwa kuamini hahahahaaa