Wanawake wenye mvuto JamiiForums 2023

😂So Kuna wanaoenda UEFA na wengine europa
 
duuh mzee baba umetisha, yaani umeweka mpaka table kabisa.

anyway, mnachokifanya sometime ni kizuri maana kina promote friendship but katika namna nyingine ni kibaya maana kinawabeza kundi hili na kuwakweza wanawake wengine. its not fair.

sababu kubwa ya jamii forum kuficha identity ni kwamba watu waji keep busy na content kuliko appearence za watu. na hii ndio tofauti ya JF na mitandao mingine.

Nashauri tu, kama una hisia za aina yeyote na fulani pm zipo wazi mfuate. watu humu ndani watukuzwe kwa mabandiko yao na sio sura zao.
 
Sawa mkuu
 
Kwani hizo ni picha zao?
 
Hahahahhaahha pamoja sana...asante kwa kutupenda...tunanukia haswaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…