Wanawake wenye mvuto JamiiForums 2023

Wanawake wenye mvuto JamiiForums 2023

Nashauri tu, kama una hisia za aina yeyote na fulani pm zipo wazi mfuate. watu humu ndani watukuzwe kwa mabandiko yao na sio sura zao.
Umemaliza Mkuu . Mleta uzi kayumba sana na ameonyesha udhaifu sana.
 
Wakuu habari za wakati huu, hopefully mko poa.

Ifuatayo ni orodha ya wanawake wenye mvuto kwa mwaka huu 2023
Disclaimer: Ni kweli haiombwi hivo ila nikipewa sikatai😂😂

Hapa hamna kuwashobokea wala nini "Mwanamke ni ua lazima wavutie"
Unataka na wewe dume uandikwe humu jamii forum kwa kipi?

NB: Hawa wote hamna hata mmoja ambaye nishawahi onana naye ila wanavutia na kunukia tu hata huko waliko na hata kupitia uandishi wao, sasa sijui na wenyewe watakua na vigimbi kama vya Nsajigwa au ni kweli wana mvuto.

Na hii ndio list yenyewe🌹🌹🌹View attachment 2856922
Bila FaizaFoxy uzi huu ni batili
 
Kwangu mimi Depal nampenda mpaka basii
 
Wakuu habari za wakati huu, hopefully mko poa.

Ifuatayo ni orodha ya wanawake wenye mvuto kwa mwaka huu 2023
Disclaimer: Ni kweli haiombwi hivo ila nikipewa sikatai[emoji23][emoji23]

Hapa hamna kuwashobokea wala nini "Mwanamke ni ua lazima wavutie"
Unataka na wewe dume uandikwe humu jamii forum kwa kipi?

NB: Hawa wote hamna hata mmoja ambaye nishawahi onana naye ila wanavutia na kunukia tu hata huko waliko na hata kupitia uandishi wao, sasa sijui na wenyewe watakua na vigimbi kama vya Nsajigwa au ni kweli wana mvuto.

Na hii ndio list yenyewe[emoji257][emoji257][emoji257]View attachment 2856922
Kwenye list yako wengine ni vidume.
 
Back
Top Bottom