Wanawake wenye mvuto JamiiForums 2023

Nashauri tu, kama una hisia za aina yeyote na fulani pm zipo wazi mfuate. watu humu ndani watukuzwe kwa mabandiko yao na sio sura zao.
Umemaliza Mkuu . Mleta uzi kayumba sana na ameonyesha udhaifu sana.
 
Bila FaizaFoxy uzi huu ni batili
 
Kwangu mimi Depal nampenda mpaka basii
 
Kwenye list yako wengine ni vidume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…