Wanawake wenye pesa ndio wenye True love

Kwa akili zako labda..
Walewale
Heheheh hii ishazoeleka ndio silaha yenu ๐Ÿ˜‚ omba omba majambazi ya kike! Njaa mbele K nyuma. Chukulieni changamoto mmbadilike msiminyane.
 
Mimi sijihisi, bali nimekamilika
Mimi ni kamili, perfect, mtimilifu, toshelevu.

Ndio maana sihitaji mtu mwenye mapungufu
Aliyekamili hajisifu.

Mwenye mapungufu kwenye macho yako ..lakini si kwa aliyeumba..
 
Heheheh hii ishazoeleka ndio silaha yenu ๐Ÿ˜‚ omba omba majambazi ya kike! Njaa mbele K nyuma. Chukulieni changamoto mmbadilike msiminyane.
Embu tafuta neno jipya..Hilo la omba omba na majambazi limeshachacha.
Usiumie kwa wanaoendekeza njaa mbele k nyuma ..ukitaka kuw nao sambamba nawe gawa ulichonacho..Acha wivu.
 
Nawasikitikia maana ni ngumu sana kuwa na mtu ambae loyalty yake inaishia pale pesa yangu inapoishia ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Acha kuwasikitikia wasiojisikitia..
 
Sijasoma uzi wako ila nimekubari hoja yako ya kweli
Mwanaume kua maskini huo ni ufala, kuq jambazi hata.
Ukishindwa kutafuta hela hata mke hutamlizisha.

Note: Kutusua ni proccess hakuji siku moja kuna kuchelewa kidogo. Mawazo ya kutusua hayatakiwi kukatika kichwani.
 
Back
Top Bottom