Wanawake wenye sura nzito/ngumu tukutane hapa

Wanawake wenye sura nzito/ngumu tukutane hapa

Hahahahahahahaha .me sijui kama n nzito au laini mkuu
ngumu.jpg

iko kama hii?
 
Shida ya mademu wabaya wakiwa kwenye mahusiano wanakuganda kama mtego wa chuma, wanakua na wivu mwingi halafu wanakua wanakupeleleza yani mtu ulikua unazugia tu kupunguza maganzi siku mwambie nakuacha nataka nioe mtoto mkali. Eeh unaweza chezea vitasa + na matusi
 
Back
Top Bottom