Bella Ciao
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 1,804
- 4,461
Hawa ndio ukigombana nao kidogo wanawahi kukuuliza "UMEKOSA NINI KWANGU?"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣 dahShida ya mademu wabaya wakiwa kwenye mahusiano wanakuganda kama mtego wa chuma, wanakua na wivu mwingi halafu wanakua wanakupeleleza yani mtu ulikua unazugia tu kupunguza maganzi siku mwambie nakuacha nataka nioe mtoto mkali. Eeh unaweza chezea vitasa + na matusi
Mkuje huku tuufufue huu uzi
Na ndio maana title ikatuita tujifariji wenyewee
Mi napenda sura ngumu... Nifanyie mpangoHahaa kujiliwaza tu.. Asante kwa faraja
Tena mbaya kuliko 😅😅😅
Unaamini lakini hutendi hayoHuwa naamini kabisa kipimo cha uzuri wa mwanamke sio sura kama dunia ya sasa ilivyozoweshwa.. So kwangu sura tupa kapuni..
Zamani kwenye mashindano ya urembo (ma miss) uzuri ulipimwa kwa kuangalia mguu, ma judgw walijipanga kisha walimbwende wanapita huku wamevalia mavazi mafupi na ma judge wanakagua mguu mzuri.
Ila haya yote ni trends tu za kidunia.. Siku hizi naona kuna shift of trend kwa kasi kutoka kwenye sura kwenda kwenye chura maana mambo ya usodoma yameshika kasi.
Tena mbaya kuliko [emoji28][emoji28][emoji28]
Lol.Hawa ndio ukigombana nao kidogo wanawahi kukuuliza "UMEKOSA NINI KWANGU?"