Wanawake wenye sura nzito/ngumu tukutane hapa

Wanawake wenye sura nzito/ngumu tukutane hapa

Shida ya mademu wabaya wakiwa kwenye mahusiano wanakuganda kama mtego wa chuma, wanakua na wivu mwingi halafu wanakua wanakupeleleza yani mtu ulikua unazugia tu kupunguza maganzi siku mwambie nakuacha nataka nioe mtoto mkali. Eeh unaweza chezea vitasa + na matusi
🤣🤣🤣🤣🤣 dah
 
Huwa naamini kabisa kipimo cha uzuri wa mwanamke sio sura kama dunia ya sasa ilivyozoweshwa.. So kwangu sura tupa kapuni..

Zamani kwenye mashindano ya urembo (ma miss) uzuri ulipimwa kwa kuangalia mguu, ma judgw walijipanga kisha walimbwende wanapita huku wamevalia mavazi mafupi na ma judge wanakagua mguu mzuri.

Ila haya yote ni trends tu za kidunia.. Siku hizi naona kuna shift of trend kwa kasi kutoka kwenye sura kwenda kwenye chura maana mambo ya usodoma yameshika kasi.
Unaamini lakini hutendi hayo
 
Hiyo sura hata iwe ngumu vp, ukutane naye black beauty fulani hivi, ule weusi unaovutia, guu guu(chura na bastola si issue sana) mtoto hair low cut kaweka way. Dah! Huwa nachanganyikiwa kabisa.
 
Back
Top Bottom