Wanawake wenye sura nzito/ngumu tukutane hapa

Wanawake wenye sura nzito/ngumu tukutane hapa

Nimechelewa kufika asalaleeeeee na Mimi nipo kwenye hili bus jamani
 
Sasa hawa ndiyo wake wa dhati, watakupenda mwanaume, watakutunzia watoto, mwanaume utaheshimiwa na boma kuangaliwa swadakta kabisa, ila kizuri kuliko chote ni ile kutokuwa na gubu, makeke, makelele, nyodo, fujo na hata kukuongezea siku za kuishi Duniani mwanaume...
They are wifely material 110%..
 
Lakini dah...kuna sura nyingine ni ngumu hata kula mate huwezi thubutu hata chumvini sahau kabisa....yaani kama umelala naye unatamani aondoke kabla hujawasha taa...kwa kweli mimi sura ngumu hapana
 
Ukitaka ufaidi mambo bila kupimiwa kwa kijiko oa Mwanamke wa dizaini hiyo. Utafaidi mpaka ukimbie. Hawa wenye vijishepu vya kichina na visura vya dukani huwa wanatupiga mswaki balaa.
 
Back
Top Bottom