Wanawake wenye sura nzito/ngumu tukutane hapa

Wanawake wenye sura nzito/ngumu tukutane hapa

Hz sura ngumu shda mno boy wako hataki kushkana mkono wakat mnatembea,
Mkiingia gheto anatangulia kwanza alafu baada ya nusu saa ndo uingie.
 
Karibuni tuliwazane.. Tujadili changamoto na faida tunazopitia katika maisha ya kawaida, mahusiano nk..
Visa visa na vituko tunavyokumbana navyo etc
Nawasilisha


Aggy sura ngumu.
Ila mnasifika kuwa na nani hii nzuri, yenye misuli na mashavu swadakta kabisa, sisi ndiyo twajuwa utamu wenu...😎😛
 
Mnaoshabikia kuoa wenye sura nzito mnaelewa maana ya kuitana baby..?
Sweet je..?
Hebu kuweni serious msiwadanganye wadada wa watu hapa bure ndo baadae mkishawaoa ukimchoka unaanza kumuita mchawi!! Kama unaoa oa kwa kumpenda sio kufuata Hawa hawaliwi sana shauli zenu.
 
Back
Top Bottom