[emoji23]unamuinjoy sana bwana
😋😋😊Unanisingizia.
Una uhakika mkuu?
[emoji23][emoji23][emoji23]Hee! Makubwa haya
HahahahaNdio umeamua utuite 'vimtu' jamani!!!
Hahahaha
Vimtu pasonoo,vyenye sura praiveti
ni mashoka..Kwahiyo wenye sura mbaya ni mapanga
Kwanini mkwe, haisadifu yaliyomo kweli?Mkwe hujui tu jinsi hii comment ilivyoniumiza[emoji134][emoji134][emoji134]
Na wewe umefuata nini huku hapakuhusuwe@heaven sent mbona hujaniita!khaa
Lina swaga kidogo maana lile la kiswahili linachoma kama pasi!Mkwe hilo neno la kizungu zito jamani, yaani ni kama umeng'ata na kupulizia.
Na wewe umefuata nini huku hapakuhusu
Hahahah mkwe we unapendeka lakini, wala usihofu muhimu tabia njema tu!Mkwe ndio umekuja kutuumiza zaidi jamani!! Hebu humu tupe moyo tu. Huko kwingine hata mkitupiga sio mbaya.
Kumbe kote simo ngoja wadau waje wa-confirm HahahahahahahahaKote uko haupo..Halafu zimefanana kama za Zari
Dada ake bado upo tu unaitwa mahala tukajadili masuala ya kifamiliaSawa hamna shida haitakiwi kuwatangazia Saana
Unanishawishi kuja mahala salama mkwe! Siamini adi nioneMkwe acha kabisa, pasi kwelikweli
Ngoja nijitahidi kuwa na adabu labda nikabahatisha.
Nafahamu kuwa una sura nzuri tu[emoji21][emoji21]🤔🤔unanifahamu wapi[emoji55][emoji55][emoji55]
Kaka angu Leo me Niko off nimeamkia humu na nitashinda humu...ila kwa sababu kuna family matter ya kudiscuss ngoja nikujeDada ake bado upo tu unaitwa mahala tukajadili masuala ya kifamilia
Hahahahah sasa si analinda himaya yake mkuu, wivu wa xs max arifu! Ukimtosa anajua majanga yaniShida ya mademu wabaya wakiwa kwenye mahusiano wanakuganda kama mtego wa chuma, wanakua na wivu mwingi halafu wanakua wanakupeleleza yani mtu ulikua unazugia tu kupunguza maganzi siku mwambie nakuacha nataka nioe mtoto mkali. Eeh unaweza chezea vitasa + na matusi
Mbona umenikimbia mrembo, mi hizo ndo type nazotaka ujue! Hamna foleni hapo hata nikienda UK kimasomo nakuta kitu Sildi!😂
😂😂😂😂