Wanawake wenye sura nzito/ngumu tukutane hapa

Wanawake wenye sura nzito/ngumu tukutane hapa

Mkwe ndio umekuja kutuumiza zaidi jamani!! Hebu humu tupe moyo tu. Huko kwingine hata mkitupiga sio mbaya.
Hahahah mkwe we unapendeka lakini, wala usihofu muhimu tabia njema tu!
 
Shida ya mademu wabaya wakiwa kwenye mahusiano wanakuganda kama mtego wa chuma, wanakua na wivu mwingi halafu wanakua wanakupeleleza yani mtu ulikua unazugia tu kupunguza maganzi siku mwambie nakuacha nataka nioe mtoto mkali. Eeh unaweza chezea vitasa + na matusi
Hahahahah sasa si analinda himaya yake mkuu, wivu wa xs max arifu! Ukimtosa anajua majanga yani
 
Back
Top Bottom