Wanawake wenye sura nzito/ngumu tukutane hapa

Hahahaha

Sasa kwa sifa zile ,humu unafanya nn? Km sio kuwachora tu ?

Na ukakiri kabisa kuwa ni kweli mmefanana na murembo yule
Mimi sijaja kuchora wenzangu bhana usinigombanishe na wadada wenzangu Hahahahahahahaha.. Halafu me mwenyewe Uzi siupati tena sijui kuna nn
 
Hahahaha

Sasa kwa sifa zile ,humu unafanya nn? Km sio kuwachora tu ?

Na ukakiri kabisa kuwa ni kweli mmefanana na murembo yule
Wanasemaga me nafwanana naye saana ila me najiona mgumu nimekuja kuungana na wenzangu...Ila mkuu kumbe ulikuwa kwa ule Uzi mbona hukutupia kapicha?
 
Halafu huwa hawana shobo, maringo, na kujidai kama hawa warembo na wazuri kupindukia wanaotzamwa na wengi... Ukimpata sura ya kauzu anakukubal na kutulia na ww, cha msng usmchanganye na hao wengn
Mademu wenye sura ngumu,ndo walingaji namba moja.......zamani(vyuoni/shuleni) mi nilikuwaga na kautaratibu kakuwasaidia(kuwatongoza) ili na wao wajione ni watu lakini nilikuwa nakutana na majibu ya ajabu ajabu na mizinguo mingi,nkaamua kuachana nao wafe na ugwadu wao.
 
Madem wenye sura za kazi,nnaowajua mimi wana nyodo sanaa,maringo mengiiii[emoji3][emoji3][emoji3].Ila kama alivyosema mdau mmoja juu,chura wa kwenda[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…