Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
mbona wewe mcute tu, kuna wenye sura chachu
Ile picha waliokuonesha ni edited
Kuna original version yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona wewe mcute tu, kuna wenye sura chachu
Mademu wenye sura ngumu,ndo walingaji namba moja.......zamani(vyuoni/shuleni) mi nilikuwaga na kautaratibu kakuwasaidia(kuwatongoza) ili na wao wajione ni watu lakini nilikuwa nakutana na majibu ya ajabu ajabu na mizinguo mingi,nkaamua kuachana nao wafe na ugwadu wao.
Hahaha ni kweli huwa si fake japo kuna wajinga wa mtandaoni watasema hapa najikosha ili wadada niwateke akili. Sio kweli japo najua watakuja tu
Majanga kama utashinda na mwanaume ukijirudi majanga hakuna muhimu ujue kumvutia mume kwa maneno na matendo yenye mvuto utainjoy ndoa.Sasa huoni wanavyofaidi, ndoa zenyewe majanga tu. Mie nawekwa ndani alafu anafaidi mwingineeee!!
Taabu iko pale pale.
Hawachezewi unawataka nenda kwao kabisa hawana muda na mapenzi na walisha nyimwaMademu wenye sura ngumu,ndo walingaji namba moja.......zamani(vyuoni/shuleni) mi nilikuwaga na kautaratibu kakuwasaidia(kuwatongoza) ili na wao wajione ni watu lakini nilikuwa nakutana na majibu ya ajabu ajabu na mizinguo mingi,nkaamua kuachana nao wafe na ugwadu wao.
Dah..mbona kitaa madem wengi wananiita hb?[emoji41][emoji41][emoji15]Kama hapo kwenye avatar yako
hahaha kwann sasakweli mkuu.. hata salam huwa hatupati
mbona kama funguoMimi sijijui, ila hii hapa ndio picha yangu kwa hiyo wanajf mtajaji kama ni ngumu au laini
View attachment 951226
Dah..mbona kitaa madem wengi wananiita hb?[emoji41][emoji41][emoji15]
usiogope bana kuwa free, ndivyo ulivyo namie sina hiyana we ni mrembo kama Alicia Keys![emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Dah..mbona kitaa madem wengi wananiita hb?[emoji41][emoji41][emoji15]
Eh kwa tabia uko vizuri, huringi kama wale!Kumbe nijitahidi tu tabia eeh?
Yeah muhimu sanaUmekuwa Tomaso eeeh!!
Napambana na hali yangu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]unapmbana na hali
huwezi kuwa serious! Wengine huku mmekuja kutuuzia chai mi ntakufata kunako Post Meridian kudhibitisha hilo!Yaani mbingu na ardhi
lhahaha kwann sasa
Ahsante ya dhati [emoji23]Ila tuwapongeze sana hawa wanawake wa sampuli hizi, maana ndiyo wanaongoza kutunza familia zao bila migogoro, kwanza ni wapambanaji sana na wanjua kubembeleza sana, na wengi wao 90% wanaolewa
Mungu hamtup wake[emoji23] [emoji23] [emoji23]Haha.. Je mimi sura ngumu na tako sina nafanyaje?
Mpira pasiiiHahahaha Mkuu ,kumbuka mpira pasi lkn