Wanawake wenye sura nzito/ngumu tukutane hapa

Wanawake wenye sura nzito/ngumu tukutane hapa

Mnadanga kwa raha zenu..Hadi mmesahau majukumu yenu..Nawakumbusha tu vitoto vibichi vya form 4 viko uraiani now..Ntafanya maamuzi soon..
Kumbe tufanyaje mume hatujui yuko wapi tubakie tunahifadhi vije viliwe na nyenyere? Wewe ndio ulianza kusahau majukumu yako na kwa taarifa yako hivyo vitoto vya form four sie tulishajichukulia vya kiume
 
siwapeendi ninyi watu maana sisi ma HB Tukiwatokea mnajua ni utani na kutupiga cha mbavu
Yaani hata sisi hatukupeendi na u hb wako tukiongozana barabarani mimi ndio naonekana mwanaume tafadhali kaeni hukohuko kwa warembo wenzenu
 
Wanjaro wote ako na face personal mkuje huku Kuna fund raising mupate Doo ya ku buy vitaulo.
IMG_20181119_233816.jpeg
 
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Manangu menee nkunyolee nkunyolee

Babuuu kuna kitu mtu atakwambia, hilo ombi litakuwa limetoka kwangu.

Jibu ntalichukua kwa huyo huyo aliyekuletea ujumbe.
Hahahaha... namsubiria kwa mahaba
 
Back
Top Bottom