Wanawake wenye vitambi mnanikera sana

Wanawake wenye vitambi mnanikera sana

Nakupenda uokoke umrudie bwanako Yesu kwa kutakataka wake za watu shauri yako mie yupo laaziz wangu wala sina shida na ntu mie,inaonyesha hujampiga siku nyingi mkeo eeee maana nyie kina tata mura hamkawii kuzaba screen ya smu

mbona kigugumizi bana..!

umekaa weee unawaza hayo maneno ndo unarudi!

:rofl::rofl: au ndo mawazo yalikuwa yanagongana kichwani?
 
Mtumishi naona umeanguka kiroho
Mimi nilisema huyu anajidai kuleta mahubiri yake humu hana lolote ni mdau wa kawaida tu. Sasa mmeyaona anaanza kutafuta wadada wa humu Jamvini kwani kwanisani kwake hakuna!!
 
Ha ha ha jamani muache lusungo wangu alipewa maono aje kwangu
bwana amemtendea muujiza kwangu, soon ntakuwa mama mchungaji
 
Last edited by a moderator:
fat-women-mareh674-photobucket.jpg

Mtuwache tupumuweeeeee miaka mia 8!!!! Khaaaaaa.......

Uo mguu au nini maana haueleweki ati
 
Hukutakiwa kuja kwa staili ya kukerwa, bali ungekuja kwa upole kwa njia ya kuwashauri ili waepukane na ulaji ambao unaweza kuwaletea madhara hayo. Hakuna mtu ambaye haelewi madhara ya "Obesity".

Nadhani jinsi ulivyowasilisha uzi wako ndiyo imewakera zaidi wakina mama kuliko kuwasaidia.
 
Mimi nilisema huyu anajidai kuleta mahubiri yake humu hana lolote ni mdau wa kawaida tu. Sasa mmeyaona anaanza kutafuta wadada wa humu Jamvini kwani kwanisani kwake hakuna!!

kumbe ulikereka ndo mana mkashinikiza nitolewe?
 
wow!...naona mbebes na vitambi vyenu mnaelimishana safi sana u knw!!...Lusungo, excel, evenly salt mnaonekana ni mbebes wakare u knw!!..yaani super viwangoz u knw!!...tatizo Le vitambiz u knw!!...punguzeni gambe mpate soko la maana mbebes wakareee!!
 
aione Excel Evelyn Salt. Dinazarde
 
Last edited by a moderator:
wow!...naona mbebes na vitambi vyenu mnaelimishana safi sana u knw!!...Lusungo, excel, evenly salt mnaonekana ni mbebes wakare u knw!!..yaani super viwangoz u knw!!...tatizo Le vitambiz u knw!!...punguzeni gambe mpate soko la maana mbebes wakareee!!

naona sasa unaanza kuvutia hisia zako kwa nyuma!!

aisee sina hiyo tabia tafadhali!

labda niku-direct kwa bobby! my dog is good at that!
 
Back
Top Bottom