Wanawake wenye vitambi mnanikera sana

Wanawake wenye vitambi mnanikera sana

Fat-woman.jpg

KNY:...#TeamWekaPicha

eenh! walae weito?

kino nke?
 
white girl kaolewa na nani besti?

afu na wewe umeolewa?

Kaolewa na mwanaume,mi bado nipo sana sijui nilienae ana mpango gani maana ananiangalia tu kama sanamu sijui hajui muda umefika aaaaaggghhhh
 
Last edited by a moderator:
Kaolewa na mwanaume,mi bado nipo sana sijui nilienae ana mpango gani maana ananiangalia tu kama sanamu sijui hajui muda umefika aaaaaggghhhh

yuko humu humu tu au yuko wapi? kwanini akugeuze sehemu ya mazoezi bana wakati watu serious tupo?
 
Mara nyingi wakina dada wenye matumbo makubwa wanakuwa wamezaa lakini hii kwa hapa bongo nchi za wenzetu hata mwanamke azae mara ngapi hawi na tumbo kubwa mfano mzuri mke wa David Beckam...Washauri wafanye mazoezi lakini usiwaponde kihivyo..
 
Yaani madada ya siku hizi sijui yakoje!...yanakeraaaa!!..hadi kichechefu!!..

Unakuta dada mzuri ajabu!..shepu shepu, nyuma ana kifurushi cha haja mweh!!...kuja mbele sasa..chevuuuu!!!..mtumbo huo!...uzuri wote chalii!

Tatizo siku hizi mumezidi kuwa waroho!!..mnakula sana kuliko hata midume!..machips mayai, manyama choma, ma bia, ma baga, sijui manini yote yenu! Sasa kwa staili hiyo kwanini msitoke vitambi!

Yaani unakuta mwanaume na mwanamke wanapita hata hujui me ni nani na ke ni nani!..kwani mki maintain shape kuna ubaya gani!..

We huoni watoto kama jokate mwegelo wanavyo pendeza hadi raha!!...sio kama shilole hadi anaogopesha na ule mtumbo!!...au mfano mzuri mdada Lara1 ni bonge la mtoto!..yupo flat sehem za flat na ameumuka sehemu zinazohitajika!
Ni ushauri tu wadada!

dr.holygrail

Hadi matokeo yatoke mrudi shule tutakuwa tumeipata fresh..!!
 
yuko humu humu tu au yuko wapi? kwanini akugeuze sehemu ya mazoezi bana wakati watu serious tupo?

Hahahahahahaha tatizo staki kua mke mdogo ntahakikisha nakomaa na jiji mpaka kieleweke we tulia mipango miji ikiwa fresh lazima upewe kadi kupenda si mchezo unajua sijafika mwisho wala kukata tamaa kama ambayo arsenal haijakataa tamaaa
 
acha hizo bana.. wake wadogo siku hizi wana advantage kubwa sana...

come here dina..! close your eyes... hug me!
 
Back
Top Bottom