mkuu
Baba V
unaweza kuacha haya?
nakuheshimu sana coz wewe ni mwalimu na naamini unauelewa wa kutosha juu ya mambo...
exaggerated point si unaijua kazi yake? mfano mramba aliposema wananchi wale nyasi ndege ya rais inunuliwe kwa akili yako unaamini ingetokea?
yesu aliposema ni rahisi ngamia kupenya ktk tundu la sindano alimaanisha nini?
Utambue kuwa hapa si wote wanauelewa mkubwa kama wewe wengi huishia kwenye knowledge tu hawafiki kwenye comprehension
nakuheshimu sitaki nikuvunjie heshima coz sote tunakutanaga kule kwenye akili kubwa....
kusema kwangu vile ilikuwa ni kuonyesha jinsi gani ilivyokua ngumu kushinda...
vichwa maji watauchukulia ujumbe kama ulivyo niwie radhi nduguyo
kila heri tukutane kalenga kumbuka unyonge sasa basi...
wasalaaam