Wanawake wenzangu, mnawezaje kukabiliana siku ya 1 ukikutana na mwanaume mwenye maumbile makubwa?

Wanawake wenzangu, mnawezaje kukabiliana siku ya 1 ukikutana na mwanaume mwenye maumbile makubwa?

Umeongea vizuri mkuu, lakini uliposema inaweza kuhimili ukubwa wa uume wowote. Kuna watu ni abnormal.
Kina cha uke nitofauti na ukubwa wa uke,kina ni urefu kwenda ndani,upana hapo niukubwa wa tundu husika sasa tundu do go linahimili uume wa saizi zote Ila kina kifupi hakuna Tiba lazima kibamia kihusike
 
Kuna kijana nilikutana naye ana mvuto kwa kweli alikidhi vigezo vyangu vyoote nilivyokuwa naviitaji kwa mwanaume wa kuishi naye, lakn baada ya muda tukapanga muda wa kutikisa kabla ya kutumia maana tulikuwa na matarajio ya kuoana baada ya muda mfupi maana kila mtu alivutiwa na mwenzako ili tuweze kuanzisha familia.

Tulienda hoteli moja nzuuri kimandhari ili niweze kuonyesha content yangu kama mwanamke
tulipoanza kufanya mapenzi kwanza niliona kitu kinazidi kuwa kikubwa baada ya kukitoa nilihisi moyo unanienda mbio baada ya kuona ni mguu wa mtoto na sijawahi kukutana nao kiukweli nilimwambia naumwa kila akijaribu nilihisi kuchanika akashindwa hata kumaliza haja zake maana ilikuwa kama anataka kunibaka na hamu zoote za kumpenda presentable yule ziliniishia nikamchukia ghafla

Toka siku hiyo nilianza kumpotezea japokuwa aliendelea kunifatilia na kuniahidi kunifundisha namna ya kuyahandle maumbile yake makubwa lakini sikuhitaji kuonana naye tena cha ajabu juzi naambiwa kaoa nilijiuliza huyo aliyemuoa amemuwezaje mi mbona kuiona tuu bastola yake ilivyokubwa nilihisi kuzimia.

Mimi binafsi niseme tuu ukweli nawashangaa wanawake wanaosema wanaume vibamia mi ndo huwa nawapenda na nainjoy au iwe saizi ya kati hivi kidogo lakini ikiwa kubwa kwanza tutakavyopigana humo ndani mpk utahisi hatukuwasiliana maana huwa naumia au nachanika kiasi kwamba nikienda kukojoa au kunawa nakuwa kama nimepaka pilipili.

Naombeni msaada mana elimu haina mwisho nijifunze namna ya kummudu mtu mwenye mzigo mkubwa
Wenye vibamia fursa zimekuja jiandaeni
 
mmh utakue kmbau mamii lkn cye 2liejazia mizgo hiyo mitango tunahimil vizriiii
kwa taarifa yako haujui kitu. wanawake wembamba ndio wenye k kubwa kuliko ninyi wanene. ni kwasababu pale kwenyewe nyamanyama zinakuwa chache hivyo ni raisi kutanuka ipendavyo kuliko ninyi wanene ambao kuna minyama imeduna inazuia kutanuka ipendavyo. wanaume wanapenda watu waliojazia wowowo kwasababu ya minyamanyama ile huwa inasababisha ibane/iwe mnato zaidi kuliko vimbaumbau. vimbaumbau utavifurahia kama unao mshedede mnene na mrefu, ni raha unaposhuhudia inapotoka na kuingia kwani inakuwa very visible na unavipindua upendavyo kwa style yeyote, tofauti na ninyi matofali ambao style zenu ni selective.
 
Dawa za kuongeza uume!!!!!?

Dawa za kuongeza hipsi!!!?

Mikanda ya kubana tumbo!!!?

Cosmetics za ngozi!!!?

Dawa za kubana uke!!!?

Dawa za masangoma kuongeza mvuto wa mapenzi!!!!?

Dawa ya kuongeza makalio!!!!?

WTF going on??

Anyways acha wajanja waendelee kupiga pesa.
 
kwa taarifa yako haujui kitu. wanawake wembamba ndio wenye k kubwa kuliko ninyi wanene. ni kwasababu pale kwenyewe nyamanyama zinakuwa chache hivyo ni raisi kutanuka ipendavyo kuliko ninyi wanene ambao kuna minyama imeduna inazuia kutanuka ipendavyo. wanaume wanapenda watu waliojazia wowowo kwasababu ya minyamanyama ile huwa inasababisha ibane/iwe mnato zaidi kuliko vimbaumbau. vimbaumbau utavifurahia kama unao mshedede mnene na mrefu, ni raha unaposhuhudia inapotoka na kuingia kwani inakuwa very visible na unavipindua upendavyo kwa style yeyote, tofauti na ninyi matofali ambao style zenu ni selective.
Duuu hap umegusa mkuu
 
Ten kif cha huyo mende kliko ingne au nyie ndo mnapaka watt wawat shomb dakik tan chali,pig mzigo mpk unaftwa jash ulingon
Uzuri wa kibamia haukurupuki......so no jasho.....kitu mdogomdogo romance kwa sanaa kuliko nyie ambao mkifika chumban mnawaza kuingiza tuu ka jogoo

Vibamia oyeeeee!!!

Kauli mbiu: starehe bila jasho.
 
Back
Top Bottom