Malaika-Hakika
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 238
- 232
Utamu wa pwani nazi Madame kuanzia kashata za nazi mpaka wali nazi karibu lakini usivue viatu ingia navyo tuu.....Wa Pwani mnajulikana tu
upofu hata wa kutokujua huna miwani au unayo pia ni upofu wajua!?ayaaaa! kumbe mimi pia ni kipofu
kuwa hukuona post yangu hapo juu mtani au ni hii boombadier uliyoambiwa itafika mpk Umalila?Mishe mishe tu mkuu zimeongezeka...
kuwa hukuona post yangu hapo juu mtani au ni hii boombadier uliyoambiwa itafika mpk Umalila?
usinifanyie hivyo bana
nilikununia ujue!Hahaha khaaaa uzee huu...hivi unajua kweli sikuiona imebidi nigeuze nyuma nirudi tena kutazama...
Mzima lakini weye mtani jirani?
Yani tumekumiss hadi tunaumwaHahaaaaa leo nipo nipo bana, ukimuona dada atoto mpe hi sana
Ila hamnizidi mimiYani tumekumiss hadi tunaumwa
Mhhh...acha utapeli dogomie ni gambakuffu na exit😉
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tunamuogopa tunda
ha ha ha aa hapiga pushap tutaamini kwamba hutayuangusha(in sukuma voice)
Mbona unabadili neno ??? Ktk kujitetea kubali kwamba umebugAsante kunisaidia
Anashangaza kwakweli !!!!Baada ya kushtukiwa ameediti neno...''Hainizuii kuwa haimzuii''....Hivi mnafikiri huku Jf ni kichaka cha watoto eeh? bravo Mkuu Gregoire's.