Wanawake wenzangu, mwanaume yupi mwenye mvuto kwako humu JF?

Wanawake wenzangu, mwanaume yupi mwenye mvuto kwako humu JF?

Hahaha khaaaa uzee huu...hivi unajua kweli sikuiona imebidi nigeuze nyuma nirudi tena kutazama...

Mzima lakini weye mtani jirani?

kuwa hukuona post yangu hapo juu mtani au ni hii boombadier uliyoambiwa itafika mpk Umalila?
usinifanyie hivyo bana
 
Back
Top Bottom