Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Humu kutwa thread za kutuponda, mara hivi....mara vile, wakati vyanzo ni wao na ulimbukeni wao.Na wakigongewa wanarudi tena hapa,
Utasikia mara ooh wanawake hawajatulia, mara wanapenda hela,
Sasa bila kumpa hela atakuawaje mkali?
Nyie wanaume nyieee,jiongezeni jmn
Kutwaaaa tuko midomoni mwao kama big G.
Nimetoka kwetu mzima, cha kwenda kupatia kilema kwa bwana ina huuuuu!!!!
Watupishe sie na akili zao nusu kasorobo.
Washazoea vya kunyonga, vya kuchinja vitawatia mgoro!!