Wanawake wenzangu, mwanaume yupi mwenye mvuto kwako humu JF?

Jamani wakinadada na wakinamama nichagueni, Nawaahidi sitwaangushaaaaa. Maana naona sijatajwa, Inabidi nianze tuu kampeni. Maana hakuna namna.
 
Nanyie mna kiherehere wameulizwa wanawake mnakimbilia nyinyi mtavikwa madela
Mpoki wa Efm, anasema Dera likiwekwa bleach hugeuka kanzu..
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Pesa ya tax elfu 20 tu, mnakuja kutufungulia thread, unadhani mtazimikiwa?
Mwanamke yake matumizi jamaniiiii
Sijaelewa tatizo la wanaume jf, yaani wamezidi kulia ,shida ni nn jmn??
Ni kwamba pesa hakuna au ni uchoyo umewazidi?
 
Mie naona ni vyote, pesa na uchoyo.
Maana juzi mtu kaombwa pesa ya tax elfu 20, kuanzia Insta mpaka FB tumejua....mpaka kaja kuanzisha thread humu, kama sio choyo zao kitu gani?
Na ubahili pia...khaaaa!!!!
Wanaume humu wanalia lia tu....sijui huko 6 kwa 6 wanaliaga hivo?
 
He,heh..
Mtu analia kutoa 20 ya tax, lakini hapo hapo anakwambia anataka dem mkali.hivi huu ukali wa dem unapatikanaje bila gharama?
Najua watasema uzuri wa mwanamke anazaliwa nao.
lakin wajue, huo ukali wa dem unachangiwa na urembo...acheni kulia lia.
 
Tena waache, wasisubiri tugharamiwe huku mitaani, tukitoka ndio watuone.
Sie ni mapambo.
Tax ya 20 tu analia lia....je angeombwa pesa ya kiwanja, si angebandika tangazo kwenye mistimu yote ya umeme?
Demu mzuri anahitaji kugharamiwa kuanzia nguo mpaka manukato.
Vya bure ghali atiii.
Kulia lia tuujuu
 
Vya bure ghali atiii.
Kulia lia tuujuu
Ha,ha,haaaa.....
Mwenye masikio na asikie.mwanaume halii lii hovyo, na wakizoea hii tabia hata akiombwa hela ya kitenge na mkewe bado atalia tu.
Waache, tabia mbaya tu
 
Mimi navutiwa na Nyani Ngabu yaani hamna mfano halafu cha ajabu sijui why navutiwa naye. I guess i am blind[emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5]
 
You will never go wrong with this Ntuzu brother!

Dey know😉.
 
Ha,ha,haaaa.....
Mwenye masikio na asikie.mwanaume halii lii hovyo, na wakizoea hii tabia hata akiombwa hela ya kitenge na mkewe bado atalia tu.
Waache, tabia mbaya tu
Ndio wanaumr dizaini hii wanaishia kugongewa mademu zao tu
 
Back
Top Bottom