Wanawake wenzangu, mwanaume yupi mwenye mvuto kwako humu JF?

Wanawake wenzangu, mwanaume yupi mwenye mvuto kwako humu JF?

Jamani kampeni zinaruhusiwaa.?? Maana post ya mia tatu na kitu inaenda na sijatajwa hata mara moja.

Haheheheheeeh

[emoji16]
 
Vyura wa Dsm bana...maji ni machache wanaogelea nchi kavu....karibuni chugga .....dushelele hadi kucheleee....papuchi....hadi inapiga salute...
Madushe yenyewe hayapandi mtungi mpaka mvute mjani?
Bora tubaki na waume zetu wa Dar, tuogelee nao madimbwini.
 
Madushe yenyewe hayapandi mtungi mpaka mvute mjani?
Bora tubaki na waume zetu wa Dar, tuogelee nao madimbwini.
Thubutu yako beibiii...pichu mwezi huvai pooling ya kufa mnyama...huku no vilaini dodi chipsi yai,kuku wa wiki .vilaini NO...goli moko tu utaomba poo au utahairisha mechi ila weye umamaliza
 
Thubutu yako beibiii...pichu mwezi huvai pooling ya kufa mnyama...huku no vilaini dodi chipsi yai,kuku wa wiki .vilaini NO...goli moko tu utaomba poo au utahairisha mechi ila weye umamaliza
Wiki ijayo nakuja Ara, nitaakutafuta.
 
Nimekutembelea nikakuta komeo mlangoni na kufuli inaning'inia kwa nje kujulisha umefunga mlango kwa nje, jee nikusubirie au unipangie nije tena lini.
Pasco
Anytime nimeshatoa makomeo
 
Monicca na wenzio acheni unambinambi hapa sebuleni wekeni wazi timu zenu hazina goalkeepers siyo mnazungusha.Wazee wa kubet nafasi kwenu kutungua magoli kiurahisi wanaingiza timu viwanjani hao na uwanja hauna uzio hata mtoto mdogo anaweza ona mechi bila kiingilio.
 
Back
Top Bottom