Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
.kuna mkaka anaitwa yaani nikimpata hyo nitakuwa namuogesha kama mtoto sitomuumiza milele till death inaitwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.kuna mkaka anaitwa yaani nikimpata hyo nitakuwa namuogesha kama mtoto sitomuumiza milele till death inaitwa
Mi nazungumzia kiutani mkuu kwa jinsi ulivyosema kwenye Ile commentmapenzi ni kufikirika best!
au?
we ukiambiwa unapendwa unaaminiga mazima?
ulishawahi kuprove mtu kukupenda?
au kumpenda?
au unaamini tu kuwa unapenda?
hem fikiri upya!
He hee mmoja tu ndo udhaifu wangu ulipolalia kwakeTaja bhanaa au tupo wengi mwenye thead nsamehe bule
nilijua umeeleweka ni utani mwanzoni!Mi nazungumzia kiutani mkuu kwa jinsi ulivyosema kwenye Ile comment
Aya bi mdadanilijua umeeleweka ni utani mwanzoni!
haya poa!
🙂🙂🙂 hakuna mwanaume anaye kataaga hii kitu aisee huu ni uongo ulo-tukuka🙄🙄🙄im sorry nafasi imejaaa
njoo kwangu mama, mm wewe ndio kilakitu humu JFMi navutiwa sana na The Boss .
ni kutokana na uandishi wake,hanaga maneno meengi.
Nimejaribu kumwambia ninavyomfeel akanijibu
Kama wew ulivyojibiwa.
He hee mmoja tu ndo udhaifu wangu ulipolalia kwake
Aku... mi simoooo!!
Hahaha loh haya karibu inbox ila ukija inbox mada za siasa ziweke pembeni maana mimi nimeshajiuzulu siasa kwa sasa mpaka awamu hii ipite[emoji3] [emoji3]Mkuu Mtende, asante kuvutiwa na post zangu ila huwezi jua sometimes usikute sio posti tuu ila kwa sababu posti ndio unaoziona.
Pia ni kweli humu MMU naingia mara chache ila mimi pia I'm only human hivyo nami.. huwezi jua!, nitakutumia salamu zangu in box!
Pasco
Muite Pasco, atakuchambulua hata ukitaka historia ya dunia ila inabidi uwe mwelewa maana lugh yake inahitaji umakini wa hali ya juu nadhani ni kutokana na haka kasheria ka mtandaoNavutiwa na mwanaume anayechambua mambo magumu kama ya Siasa hivii, mfano nikute anaongelea kuhusu mgogoro wa Sudan Kusini🙂 au Ile Debate ya Trump na Clinton😀 au anajadili kuhusu Bombadia😛, au ongezeko la VAT Ila wale kwenye thresds zake unakuta ni kuhusu alivyoathiriwa na puny😵to wapite hiviii......
She is doing good... Katakua kako shule saiviYule binti yako mrembo hajambo leo? Msalimie sana🙂.
He,heh....sawanjoo kwangu mama, mm wewe ndio kilakitu humu JF
Unaweza kuaccess pm yangu, yako siwezi kuiaccessHaha haya nakusubiri
Hahahaaa UMETISHAA Engineer mwenzanguuMimi hata msiponizimikia... Nitabaki kuwa really gentleman tuu...
kwanza demu wangu anani zimikia kinoma tuu..
Halafu pili mie ni Engineer...
Yaan raha tuu..
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Tunamuogopa tundaInteresting, hamjanitaja bado [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]