snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,065
- 24,559
ai!hata mimi hunioni
itakuwa sina macho siku hizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ai!hata mimi hunioni
Mapenzi ya kufikirika haya mkuuahahahahhahahhhaaha nalishwaaaaaa!
naogeshwaaaaaa kwenye mayonaise
af nasuguliwa miguu na mafuta ya karafuu
halafu nalazwa kwenye duvet la Hariri lenye marashi ya asumini
ah wacha kabisaaa!
jamaa katishaaaa!
Roho mbaya hiyo.... Kizuri kula namimi banaweeeeeeee!
ishia hapo hapo!
MIE SIPENDI MWENYE MANENO MENGII..Aoongee machache na ya busara.Navutiwa na mwanaume anayechambua mambo magumu kama ya Siasa hivii, mfano nikute anaongelea kuhusu mgogoro wa Sudan Kusini🙂 au Ile Debate ya Trump na Clinton😀 au anajadili kuhusu Bombadia😛, au ongezeko la VAT Ila wale kwenye thresds zake unakuta ni kuhusu alivyoathiriwa na puny😵to wapite hiviii......
Hapana wewe ni screpaMimi hunizimii?
Jina lako tu eti Hb wa Ilala linaonesha ni wale wale🙁..Njoo nikuchambulie mgogo wa sudan kusini [emoji41]
..sikuujiita Hivyo,its tha Ilala Girls am Innocent [emoji1]Jina lako tu eti Hb wa Ilala linaonesha ni wale wale🙁
God Forbid..sikuujiita Hivyo,its tha Ilala Girls am Innocent [emoji1]
So u won't even Get to listen navyochambua mgogoro huo??!God Forbid
Ngoja nikaangalie threads zako kwanza huwa unapost nini😛So u won't even Get to listen navyochambua mgogoro huo??!
ai!
itakuwa sina macho siku hizi
[emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja nikaangalie threads zako kwanza huwa unapost nini😛
ahahahhahaha akhu!Roho mbaya hiyo.... Kizuri kula namimi bana
mapenzi ni kufikirika best!Mapenzi ya kufikirika haya mkuu
Taja bhanaa au tupo wengi mwenye thead nsamehe bureMie ninaemzimikia anajijua