Asante. Bahati mbaya mydear. Moyo wangu umedondokea kwingineeeeMbon me nakupenda
Post sent using JamiiForums mobile app
Hahahah nataka nimikiwe ili uje kuniwashianimekutizama tu unataka uzimikiwe ili? uchokozi huu sitaki ujue
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji85]Hahahah nataka nimikiwe ili uje kuniwashia
nimechapia mkuu, hebu isahihishe hiyo sentensi yangu kwaajili yangu mimi nasikia uvivu mkuu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji85]
Jesus is my saviour and a friend
karibu kwanguMm huwa navutiwa na mwanaume mrefu halafu asiwe mweupe hapo moyo wangu kwatu.
Nilikuelewa mkuu ucjal mkuunimechapia mkuu, hebu isahihishe hiyo sentensi yangu kwaajili yangu mimi nasikia uvivu mkuu
Njoo PM nikutongoze mkuu, wacha kuringaringa mkuu,Nilikuelewa mkuu ucjal mkuu
Jesus is my saviour and a friend
Mimi hata msiponizimikia... Nitabaki kuwa really gentleman tuu...
kwanza demu wangu anani zimikia kinoma tuu..
Halafu pili mie ni Engineer...
Yaan raha tuu..
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Badala mzimie wanaume wenye hela zao mpewe maisha na kupitia njia iliyo nyooka mna wazimia vinyamkera gan sijui. Tehe [emoji23][emoji23]
Life's short baby u deserve a Winner. [emoji23][emoji23]
Huwe unam Cc atajuaNinayemzimikia hata hana time na mimi. Sad[emoji22][emoji22]
Anaweza asipende akaniumbua. Ngoja nibaki na maumivu yangu moyoni.
Apply u ebotike unajifanya jokes and comedy while u meantAnaweza asipende akaniumbua. Ngoja nibaki na maumivu yangu moyoni.
Duh haya. Ngoja niapply hii trick. Asante